Diamond kwepa hili mapema la udini. Fata ushauri wa Vanny Boy

Ha ha ha mkuu hamna aliyemwema kwa asilimia100,
Hukumuona Pope Jana alivyompiga yule mama aliekua akiung'ang'ania mkono wake...ulimuona Pope alivyonuna Kama bouncer fulani

Ha ha sijaiona hiyo ngoja niitafute, ila kwa ule uchafu wa kwenye train afu asubuhi unakabidhi msikiti ni jambo linalosikitisha sana, tena kachukua wale wa bunyero bunyero msambwanda kwa buku jero
 
Ha ha sijaiona hiyo ngoja niitafute, ila kwa ule uchafu wa kwenye train afu asubuhi unakabidhi msikiti ni jambo linalosikitisha sana, tena kachukua wale wa bunyero bunyero msambwanda kwa buku jero

Your browser is not able to display this video.
 
Dini yao inaruhusu wasaniikujenga misikiti ila sio sis wakristo
dINI HIYO INARUHUSU AINA YA MUZIKI ANAYOFANYA, MAVAZI YAKE NA WANANGUAJI WAKE NI HALALI NA MAPATO YATOKANAYO NA KAZI HIYO NI HALALI KUJENGEA NYUMBA YA IBADA AMA KUTOA SADAKA?
 
dINI HIYO INARUHUSU AINA YA MUZIKI ANAYOFANYA, MAVAZI YAKE NA WANANGUAJI WAKE NI HALALI NA MAPATO YATOKANAYO NA KAZI HIYO NI HALALI KUJENGEA NYUMBA YA IBADA AMA KUTOA SADAKA?
Mbona ww unagonga wanawake bila ndoa na still unaenda kwenye nyumba za ibada mbona ujiongelei.
 
Ha ha sijaiona hiyo ngoja niitafute, ila kwa ule uchafu wa kwenye train afu asubuhi unakabidhi msikiti ni jambo linalosikitisha sana, tena kachukua wale wa bunyero bunyero msambwanda kwa buku jero
Gwajima pamoja na kuwa ni mchungaji
lakini kachepuka na muumini wake.Kitu Cha msingi hapa duniani hakuna mtu mkamilifu Mungu angetufunulia dhambi zetu wasinge baki watu salama Kuna watu wanna mambo machafu Sana mpaka Mungu anaogopa alafu wanajifanya innocent tusipende kujudge ya watu wakati yeti tu yametushinda.
 
Hii ndio thread ya KIBWEGE kuliko zote kwa mwaka 2020
 
Mtoa mada ulitakiwa huo ushauri wako uwape wasanii wa kristo ndo wafanye hivyo na si kumpangia mtu mwenye imani yake amfanyie mtu wa imani nyingine.
 
Diamond mwache aimbe hadhi ya kuwa statesman haiombwi. You earn it.
msilazimishe.
 
Mmh nyie huko kanisani kwenu hakuna makahaba, wachawi, wala rushwa? Tena hao ndio wanapewa heshima kwa kuwa wanatoa sadaka kubwa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii inanikumbusha kulikuwa na jamaa fulani mkoa mmoja sitautaja, huyo jamaa alifahamika kabisa kwamba yeye ni jambazi mkubwa (king pin) na kazi yake kubwa ilikuwa ni hiyo tu, alikuwa na maduka pia. Yeye alikuwa na kiti chake maalum cha kukaa kanisani siku za jumapili na siku ya jumapili asipoenda basi kiti chake huwa kitupu, hakai mtu hapo. Alikuwa anatoa fedha nyingi katika mchango wa "fungu la kumi", hivyo aliheshimika sana hapo kanisani kwa sababu hiyo licha ya kwamba ilikuwa wazi anajulikana kwa ujambazi wake. Lakini niliambiwa aliuawa kwa kupigwa shaba.

Hayo ndiyo mambo ya imani, 🤣🤣
 
Hahah hizi ndizo akili za Wabongo wengi...

Mimi hupenda kuziita akili za kupatia divisheni 4 kidato cha nne...
 
Hill Kanisa atakalojenga Diamond atasali yeye na MAJINI wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…