Diamond kwepa hili mapema la udini. Fata ushauri wa Vanny Boy

Kwani wewe ulishawahi kuchangia msikiti?..umeandika uzi kiboya sana..yani nilitamani hata nikutukane
 
Sorry nimeacha kusoma uzi wako nilipokutana na neno"MAHABARA" maana nikajua wewe ndio walewale tu
 
Kweli kabisa! Hivi huyu jamaa anajua gharama za kujenga kanisa au anasikia! Labda kujenga kigango! Makanisa ni maekalu pesa ndefu inaweza kumfilisi! Achaaaa!
Hivi nyie mnaishi Tanzania tofauti na tunayoishi sisi? Hayo makanisa hatuyaoni huku mtaani au? Kama upo dar nenda ubungo kaangalie kanisa la anglican pale n.h halafu njoo utuambie lile ni bilioni ngapi kujenga
 
Ajenge na Kanisa?
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Huo mziki anaoufanya anajua anafanya Makosa, ndio ajenge na Kanisa Mkakufuru humo ndani.
Bora abakie na shari ya mziki pekee.

Ikiwa umeumia sana silimu ili yasikupite
 
Umeandika ujinga aisee...

So akijenga kanisa litakuwa LA dhehebu gani? Atajenga makanisa kila dhehebu?

Then kujenga kanisa sio kazi ndogo mzee? Kuna mtu kahoji hapo hata akijenga litakuwa kanisa ama Sunday school?

Then nadhanu nnje ya mziki wake si vema sana ukampangia nini cha kufanya..
 
Hivi nyie mnaishi Tanzania tofauti na tunayoishi sisi? Hayo makanisa hatuyaoni huku mtaani au? Kama upo dar nenda ubungo kaangalie kanisa la anglican pale n.h halafu njoo utuambie lile ni bilioni ngapi kujenga
Shekhe ilo kanisa old fashine mzee..nao watu wanachangana kujenga mahekalu..
 
Shekhe ilo kanisa old fashine mzee..nao watu wanachangana kujenga mahekalu..
Mahekalu ya mabilioni ambayo diamond hawezi kujenga si ndio? Nenda kaangalie kanisa la rc manzese halafu uje utuambie lile ni bilioni ngapi
 
Umekosa Kanisa ?Nenda kwa Gwajima mbona kuo wazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…