Diamond: Manara ana mchango mkubwa kwenye mpira, tukiendekeza chuki za mtu mmoja mmoja ni kudidimiza mpira. Aiomba Serikali imfungulie

Amechangia kwa namna gani? Kuna uwekezaji wowote kafanya? Alishawahi kuwa mchezaji? Alishawahi kuwa kocha? Au Kupiga domo na kutukana wadau wa timu pinzani nao ni mchango?
Manara kacheza mpira.
 
Wote wana akili finyu, Manara ana mchango gani kwenye mpira wa Tanzania? Yeye anafaa kuoa tu kila mwaka na kuchambana na wanawake mitandaoni. Mpira unahitaji watu wanaoujuwa na wenye akili, si Manara.
 
"Karia wakati mwingine chuki tu."

Hajauma maneno bwana mondi au tayari alikuwa kaishapiga DONA yake, yanamtoka tu. [emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli yanamtoka tyuuh
 
Yaan Domo anadhani kwenye mpira ni km kwenye mziki,
Anaishia kuabikaa tyuuh, Lol
 
Reactions: Tui
Diamond tatizo ni shule, Wasafi Media yake mahusiano yake na TFF yatakuwaje after this. Kumtaja Karia direct kwenye speech yake pia kisheria kakosea sana hapa ndipo inakuja hoja ya EL shule shule shule!
 
Japo ajira hazitoshi, ila bado shule ni muhimu.

Manara kamuomba Diamond amsaidie kupaza sauti, na Diomond naye katoa siri kwamba Manara alimfata kumuomba ampazie sauti.

Kwa hiyo sasa, imeshajulikana kwamba Manara anateseka kufungiwa na ameamua kuanza kuwatumia watu maarufu wamsaidie.

Kwa hiyo ujumbe wa Diamond haujafika ipasavyo maana amezungumza kama mjumbe wa Manara badala ya mtetezi wake.
 
Diamond tatizo ni shule, Wasafi Media yake mahusiano yake na TFF yatakuwaje after this. Kumtaja Karia direct kwenye speech yake pia kisheria kakosea sana hapa ndipo inakuja hoja ya EL shule shule shule!

Shule sio tiba ya kila kitu, braza bigi yeye kashajipata we baki na maelimu yako mpka kasema hivo hakuna wakumyumbisha TFF yan kiufupi hamwezi kiuchawi, hawamuezi kipesa na hamuwezi kiserikali
 
Shule sio tiba ya kila kitu, braza bigi yeye kashajipata we baki na maelimu yako mpka kasema hivo hakuna wakumyumbisha TFF yan kiufupi hamwezi kiuchawi, hawamuezi kipesa na hamuwezi kiserikali
Mdomo uliponza Kichwa kaka. Mdomo waweza ponza Uchawi wako, Mdomo waweza ponza pesa zako! Anyway Am over
 
kwa maneno yako Manara ana mchango kwenye klabu ya simba, na wala sio soka la Tanzania
 
Mchango nikuwekeza kwenye vitendo facilities,makocha,gyms,mazngr mazuri,na wataalam wengn sio hizi porojo porojo cjui wasemaji cjui manara ni upuuzi mtupu hakuna kitu humo
 
Aliadhibiwa,kwa kufuata taratibu.
 
Kipindi simba inafungwa kbl ya modewji hao wapiga domo hawakuwepo??mpira ni uwekezaji wa vitendo hao niwashereheshaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…