CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Msomari ndiyo kitu gani mbona hueleweki? Mwiba hutolewa pale pale ulipoingilia,mamlaka iliyomfungia ndiyo inayoweza kumfungulia. Alipewa ushauri wa kukata rufaa akadharau,hivyo mamlaka ya juu haiwezi kuingilia shauri hilo bila kupelekewa rufaa. After all Haji Manara mwenyewe ameshaamua kuendelea na maisha mengine nyie wengine ni kama mnaleta uchochezi tu.Hatumuombi msomari bali tunaiomba serikali imfungulie ,si unakumbuka serikali ilivyomaliza sakata la Fei toto? Msomari ana chuki binafsi na manara.