Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

Tatizo anarudia sauti ( melody ) ile ile anachokifanya anabadilisha maneno tuu na uelekeo wa beat kidogo
Baba kutunga wimbo kazi kishenzi kuna demu kaniambia nimtungie wimbo ananipa rough road huu ni mwaka wa pili hata kiitikio sina idea nacho
 
Kama kuwa nominated BET nikufeli vip ambao hata kuwa nominated ni sawa na mlevi kuona mbingu? Ukija kwenye viewers yeye ndio msanii Ngoma zake zenye viewers wengi kuliko msanii yoyote Tz, ukija kwenye manunuzi za Ngoma kwenye Spotify pia bado anaongoza kwa kuwa na stream ya 1M
 
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.
jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama mshumaa.
Hayo yote ni laana ya mzee Abdul, ulimuaibisha sana yule mzee naona Mungu anaanza kukukumbusha kuwa always sikio halizidi kichwa.
Usiposhtuka mapema kuomba msamaha kwa huyu mzee huu ndo utakuwa mwisho wako na ndo litakuwa angulo lako officially.
Naona unasubiri meli Airport.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Haihitaji elimu ya chuo kikuu kulitambua hilo vyote ulivotaja hapo vimebuma
Kweli waliosema akili ni nywele kila mtu ana zake, ila hawakutaja nywele za eneo gani....... sijajua mwenzetu ni za eneo gani.
 
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.
jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama mshumaa.
Hayo yote ni laana ya mzee Abdul, ulimuaibisha sana yule mzee naona Mungu anaanza kukukumbusha kuwa always sikio halizidi kichwa.
Usiposhtuka mapema kuomba msamaha kwa huyu mzee huu ndo utakuwa mwisho wako na ndo litakuwa angulo lako officially.
Tafuta hela mtoa mada
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Acha unafki basi...kwaiyo Iyo imebuma? Naanzaje imebuma? Pepeta imebuma? Hyo BeT kua nominated tu nako kubuma? Zile cardlilac ,RR nazo ni kubuma? Mlisema jamaa kapotea tangu 2012..leo 2021...tafuta hela mkuu chuki ikutoke[emoji1787][emoji1787].. mwanaume unaanzaje Diss kidume mwenzio?
2010 walianza.
 
Heee ama kweli dua za miaka 10 zinakaribia kuitika yaani hadi muda huu uzi hauna mapovu ya kutosha toka kwa chawa wa wachafu koge. Enzi hizo uzi ungekua page ya 100 huko
 
Acha unafki basi...kwaiyo Iyo imebuma? Naanzaje imebuma? Pepeta imebuma? Hyo BeT kua nominated tu nako kubuma? Zile cardlilac ,RR nazo ni kubuma? Mlisema jamaa kapotea tangu 2012..leo 2021...tafuta hela mkuu chuki ikutoke[emoji1787][emoji1787].. mwanaume unaanzaje Diss kidume mwenzio?
mkuu hela shingapi??usiseme tu mtu atafute hela inawezekana anazo.
 
Back
Top Bottom