Unapata tabu na Sadala,mtu katoa nyimbo moja ila ndani ya wiki tu.
View attachment 1931356
View attachment 1931355
View attachment 1931354View attachment 1931353
Tunatamani kuyakubali maneno yako, ila number zina kuumbua.
Youtube tokea mwaka uanze yeye ni no 1 ,streams zaidi ya 30+ kila mwezi na digital platforms karibia zote kwa Africa Mashariki na kati yy ni number 1.
Kuna msanii wenu mnayempaka mafuta kwa mgongo wa chupa show zake US aibu, anashindwa hata kupost,bora angebaki tu aandae show kama Nandy.
Sadala zinazomweka juu ni Number ndio maana hizo chuki zenu kwa miaka zaidi ya kumi hazijawahi kumshusha.