Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

Tatizo anarudia sauti ( melody ) ile ile anachokifanya anabadilisha maneno tuu na uelekeo wa beat kidogo
Baba kutunga wimbo kazi kishenzi kuna demu kaniambia nimtungie wimbo ananipa rough road huu ni mwaka wa pili hata kiitikio sina idea nacho
 
Kama kuwa nominated BET nikufeli vip ambao hata kuwa nominated ni sawa na mlevi kuona mbingu? Ukija kwenye viewers yeye ndio msanii Ngoma zake zenye viewers wengi kuliko msanii yoyote Tz, ukija kwenye manunuzi za Ngoma kwenye Spotify pia bado anaongoza kwa kuwa na stream ya 1M
 
Naona unasubiri meli Airport.
 
Reactions: Qwy
Haihitaji elimu ya chuo kikuu kulitambua hilo vyote ulivotaja hapo vimebuma
Kweli waliosema akili ni nywele kila mtu ana zake, ila hawakutaja nywele za eneo gani....... sijajua mwenzetu ni za eneo gani.
 
Tafuta hela mtoa mada
 
Reactions: Qwy
2010 walianza.
 
Heee ama kweli dua za miaka 10 zinakaribia kuitika yaani hadi muda huu uzi hauna mapovu ya kutosha toka kwa chawa wa wachafu koge. Enzi hizo uzi ungekua page ya 100 huko
 
mkuu hela shingapi??usiseme tu mtu atafute hela inawezekana anazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…