Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

huyu atakuwa mwijaku tu ila njaa mbaya sana
 
Mbona yeye hakumwomba msamaha alivyomfukuza mama yake diamond nakumtelekeza no mapenzi ya baba,no matumizi no chochote si alimkana diamond yeye kamfukuza na kumkana nani kamfundisha mwenzie kuwa na roho mbaya??
 
Duh!
 
Binadamu bwana....
 
Iyoooooo naiona iyo...
Iyo iyo iyo naiona iyooooooo🎵🎵🎵
Iyoooooooo imebuma iyooo
Iyo iyo iyo imebuma..
Naona siku hz mnakosa maada za kuandika, huu uzi uwe wa mwisho kuhusu habari za mondi kupotea kwenye mziki.
 
Hard facts zinawaumbua haters, wao blah blahs tu na wishful thinking za kichawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…