sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Chris Brown ameonesha kupagawa na wimbo namba moja kwa sasa Africa uitwao Komasava ulioimbwa na Diamond Platinumz kutoka tandale.
Chris Brown amecheza wimbo huo huku akionesha kupagawa na ubora na uzuri wa wimbo.
Hii kwa hakika ni kubwa sana kwa muziki wetu Tanzania. Tunatakiwa tujivunie na kutegemea collabo ya miamba hii miwili duniani.
UPDATES:
Chris Brown baada ya muitikio mkubwa wa dance video yake ya Komasava. Amepost na kwenye akaunti yake ya Facebook.