Diamond na Chris Brown waisimaisha dunia na Komasava

Diamond na Chris Brown waisimaisha dunia na Komasava

Tunashukuru Mungu kutuweka hai kushuudia kizazi cha dhahabu cha muziki wa Tanzania.
Sema kizazi cha adhabu wewe dogo naona uchawa wako unapitiliza sasa eboo. Kizazi ambacho tunaona wasanii wengi wanapewa adhabu, nyimbo zao nyingi zinapewa adhabu.
Sio kizazi cha Dhahabu
Kizazi cha dhahabu cha mziki Tabzania sio hawa wapumbavu wajinga akina domo kaya wanaoimbaimba nyinbo za matusi.
Pumbavu zako wewe mjinga.
Kizazi cha dhahabu ni akina marijani rajabu
 
Wewe uliye andika ndio diamond mwenyewe. Chris kacheza wimbo wako kweli lakini hiyo haimaanishi kwamba wewe ndio msanii namba moja Africa bado boss. Kinacho kuangusha ni kiingereza.
 
Full stop hata kazi anazofanya na Davido hafanyi bure zote kuna indorsement inaingia kwenye management yake it's all about business hakuna ujamaa kule ni ubepari kwa kwenda mbele business as usual
Wanaelewa nini hawa MACHAWA...wanakuambia eti anaupaisha mziki wa bongofleva, bongoflva ipi inayoimbwa kwa sasa zaid ya amapiano ya waafrika kusini,.
Kule marekani msanii mkubwa aamke asubuhi aanze kucheza ngoma yako eti kaipenda,[emoji23][emoji23]
Kwamba hata kolabo na davido ni sababu ana mahaba ya dhat kwa davido?[emoji23][emoji23]
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani Tz wananchi wake bado wanaishi kwenye primitive era yaani Chris Brown kucheza wimbo wa Diamond imekuwa gumzo? Alafu kutwa mnataka kujishindanisha na akina Davido ambao huyo Chris Brown wanafanya naye Ngoma Kila kukicha.
 
Back
Top Bottom