Diamond na Chris Brown waisimaisha dunia na Komasava

Diamond na Chris Brown waisimaisha dunia na Komasava

Hongera sana PR TEAM wa Diamond.

Kufanya komasava iende international 👇👇👇

1. Just pay Chris Brown the money

2. Ask him to do a video while dancing to the song and post it on socials...

👏👏👏👏
Watu weusi tuko ni shida pahala
 
Kwa hiyo nyie wadau mnataka mseme hata ile kitu aliyofanya T.I.D ikatoboa huko mbele na yeye alilipia.?

Au

Misso Misondo kazi zake zilivyotoboa huko mbele kwenye tiktok na yeye alilipia?

Naombeni msaada na mimi nitoe tongotongo
 
Tuseme tu ukwel, vijana wetu wanajitahid sana kufanya kazi. Sana yani. Kama huyu Domo, dogo anapiga sana kazi (tukiweka mbali kashfa zake ).

Zaman tuliozea sisi kucheza ngoma za mbele.
Leo hii mbele nao wanacheza ngoma zetu. This is really a good thing to be proud of.

Leo hii amapiano, hawa vijana wetu walivyoikamata, sidhan kama hata hao wasauzi wanaweza kutushika japo ndio wenye mziki wao.

Big up.
Sasa imagine na wanasiasa wetu wangekuwa wanafanya kazi kama hawa wasanii.. Tanzania ingekuwa motooo sana..
 
Of course ana brand tayAri hata huyu mond hawezi Tangaza biashara ya mtu burebure
Full stop hata kazi anazofanya na Davido hafanyi bure zote kuna indorsement inaingia kwenye management yake it's all about business hakuna ujamaa kule ni ubepari kwa kwenda mbele business as usual
 
Kwa hiyo nyie wadau mnataka mseme hata ile kitu aliyofanya T.I.D ikatoboa huko mbele na yeye alilipia.?

Au

Misso Misondo kazi zake zilivyotoboa huko mbele kwenye tiktok na yeye alilipia?

Naombeni msaada na mimi nitoe tongotongo
Haujui We Z
 
Sasa imagine na wanasiasa wetu wangekuwa wanafanya kazi kama hawa wasanii.. Tanzania ingekuwa motooo sana..
Ahahahah mkuu japo umenichekesha ila ulichosema ni sahihi sana sana sana..sijui tuna bahati mbaya gani sisi..tukifikiri tukiwa na vijana kwenye mfumo wa uongoz wangeleta mabadiliko kumbe waaap, ndio hawa akina Bashe kupiga deal za sukari tu
 
Hongera sana PR TEAM wa Diamond.

Kufanya komasava iende international 👇👇👇

1. Just pay Chris Brown the money

2. Ask him to do a video while dancing to the song and post it on socials...

👏👏👏👏
Haya sio maelezo ni maumivu makali unayopitia
 
Full stop hata kazi anazofanya na Davido hafanyi bure zote kuna indorsement inaingia kwenye management yake it's all about business hakuna ujamaa kule ni ubepari kwa kwenda mbele business as usual
Kama ni kulipa watu basi anaelekea kufiriska
IMG_20240620_171151.jpg
 
Back
Top Bottom