sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good, ila Chris Brown ameikubali.Ukwl wa moyo Sijaona uajabu wa hiyo ngoma ila hongera kwake
Chris Brown hafanyi bure kamuulize Davido"Even the black folk hate to see another nigga
made it"
Rick Ross - So Sophisticated
So sad mkuu."Even the black folk hate to see another nigga
made it"
Rick Ross - So Sophisticated
Hafanyi buremlipe na wewe kama unafikiri ni rahisi hivyo
Acha uongo.Chris Brown hafanyi bure kamuulize Davido
Chris Brown hafanyi bure ni suala la Manejimenti sio yeye kuna indorsement imeingia behind the scenesSo sad mkuu.
Moja ya vitu vinavyotufanya tuzidi kurudi nyuma ni wivu na roho mbaya baina ya sisi wenyewe.
Sio kweli nadhani wabongo tunatafutiza excuses ambazo hazina maana yoyote ile.Chris Brown hafanyi bure ni suala la Manejimenti sio yeye kuna indorsement imeingia behind the scenes
Pesa Ina nguvu sana nothing is for freeSio kweli nadhani wabongo tunatafutiza excuses ambazo hazina maana yoyote ile.
Mara nyingi ngoma zenye vibe hizi artist anaweza kuifanyia challenge tu as long as ameipenda it's not necessary alipwe ili afanye challenge na ni ngumu sana.
Do you think ni pesa tu ndiyo inafanya msanii kama Chris kufanya challenge? If it's only about money mpaka sasa kama Diamond ana hizo pesa za kumlipa Chris kufanya challenge si angekuwa na collaboration naye muda mrefu sana.
Naona watu wanabrag hapo juu about PR ila wengi they know nothing about PR, unaweza ukauliza hata maana yake unakuta mtu hawezi kuielezea kwa ufasaha.
You people think money buys everything ila sio kwenye issue za promotion & Branding.
Leo Drake hafanyi kazi na wewe kwa sababu tu unameet demand ya pesa ambayo anaihitaji. Kuna vitu vikubwa sana vinazingatiwa, nakupa mifano yake tu
1. Reputation
2. Credibility
3. Image
4. Brand n.k
It's not necessarily kitu cha bongo kikienda viral muamini kwamba ni malipo yamefanyika. Tuachane na hii mitazamo hasi kila siku.