Sio kweli nadhani wabongo tunatafutiza excuses ambazo hazina maana yoyote ile.
Mara nyingi ngoma zenye vibe hizi artist anaweza kuifanyia challenge tu as long as ameipenda it's not necessary alipwe ili afanye challenge na ni ngumu sana.
Do you think ni pesa tu ndiyo inafanya msanii kama Chris kufanya challenge? If it's only about money mpaka sasa kama Diamond ana hizo pesa za kumlipa Chris kufanya challenge si angekuwa na collaboration naye muda mrefu sana.
Naona watu wanabrag hapo juu about PR ila wengi they know nothing about PR, unaweza ukauliza hata maana yake unakuta mtu hawezi kuielezea kwa ufasaha.
You people think money buys everything ila sio kwenye issue za promotion & Branding.
Leo Drake hafanyi kazi na wewe kwa sababu tu unameet demand ya pesa ambayo anaihitaji. Kuna vitu vikubwa sana vinazingatiwa, nakupa mifano yake tu
1. Reputation
2. Credibility
3. Image
4. Brand n.k
It's not necessarily kitu cha bongo kikienda viral muamini kwamba ni malipo yamefanyika. Tuachane na hii mitazamo hasi kila siku.