an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
Lipa madeni ya watuSijaona uzuri wa wimbo wa komasava
Uchawi huu.Ujui Siri mond katoa pesa nyng ili Chris acheze uo wimbo
Diamond kumpa hela chriss...Inamanisha diamond Ana ukaribu na anawasilana na Chriss ... Ni kitu kizuri pia, nazan ndio atakuwa msanii wa kwanza bongo kuwasiliana chriss brownUjui Siri mond katoa pesa nyng ili Chris acheze uo wimbo
Sema kizazi cha adhabu wewe dogo naona uchawa wako unapitiliza sasa eboo. Kizazi ambacho tunaona wasanii wengi wanapewa adhabu, nyimbo zao nyingi zinapewa adhabu.Tunashukuru Mungu kutuweka hai kushuudia kizazi cha dhahabu cha muziki wa Tanzania.
Ile alicheza au aliupost?Ata Mix ya Misomisondo alicheza.
Je wewe ni mla bangi au cocaineMeek mill agoma kumtambua kama homonigaa ni mla bang au ni msanii,,hiy dunia watu wamevulugwa
Wanaelewa nini hawa MACHAWA...wanakuambia eti anaupaisha mziki wa bongofleva, bongoflva ipi inayoimbwa kwa sasa zaid ya amapiano ya waafrika kusini,.Full stop hata kazi anazofanya na Davido hafanyi bure zote kuna indorsement inaingia kwenye management yake it's all about business hakuna ujamaa kule ni ubepari kwa kwenda mbele business as usual