Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wana jamvi.
Kwa mara nyingine wasanii Diamond na Davido wameonekana kuwa vinara wa muziki Africa baada ya kukutanishwa tena kuwania tunzo nyingine huko Marekani wakiwa sambamba na Awilo longomba.
Tunzo hizo zinazojulikana kama IRAWMA(International Raggae and World Music AWards) zitakazo fanyaika October 4,2014 huko Florida Marekani.
Diamond na Davido wote wanawania tunzo katika kipengele cha Best African Song/Entertainer.
Diamond amepata nafasi hiyo kupitia wimbo wa Mdogo Mdogo huku Davido akiwania kupitia wimbo wake wa Aye.
Tukiacha ya Davido na Diamond pia Msanii Dabo kutoka Tanzania kateuliwa kuwania Tunzo ya Best New intertainer.
Unaweza kuwapigia kura kupitia www.irawma.com.
Hongera Diamond.
Hongera Dabo.
Credit: bongo5.com