Diamond na Davido wakutanishwa tena kuwania tunzo huko Florida,Marekani

Diamond na Davido wakutanishwa tena kuwania tunzo huko Florida,Marekani

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi.

Kwa mara nyingine wasanii Diamond na Davido wameonekana kuwa vinara wa muziki Africa baada ya kukutanishwa tena kuwania tunzo nyingine huko Marekani wakiwa sambamba na Awilo longomba.

Tunzo hizo zinazojulikana kama IRAWMA(International Raggae and World Music AWards) zitakazo fanyaika October 4,2014 huko Florida Marekani.
Diamond na Davido wote wanawania tunzo katika kipengele cha Best African Song/Entertainer.
Diamond amepata nafasi hiyo kupitia wimbo wa Mdogo Mdogo huku Davido akiwania kupitia wimbo wake wa Aye.

Tukiacha ya Davido na Diamond pia Msanii Dabo kutoka Tanzania kateuliwa kuwania Tunzo ya Best New intertainer.
Unaweza kuwapigia kura kupitia www.irawma.com.

Hongera Diamond.
Hongera Dabo.

Credit: bongo5.com
 
Hahaaaaaa Sehemu yeyote aliyopo Davido ni kwamba Domo hakai.....Lazima Domo adondokee pua.
 
Hivi kwanini watu hapa wanamchukia sana huyu chalii,mbona yupo poa tuu na isitoshe anatuwakilisha vyema tuu na kuimba pia anajua. Acheni hizo mambo bhana.

Usitegemee MTU akapendwa na kila MTU.
 
Hivi kwanini watu hapa wanamchukia sana huyu chalii,mbona yupo poa tuu na isitoshe anatuwakilisha vyema tuu na kuimba pia anajua. Acheni hizo mambo bhana.

Truth be told, nilikuaga simkubali huyu jamaa..until alivyotoa nyimbo ya "nataka kulewa" na scandal za huo wimbo ndo ulinifanya nimkubali.. Niligundua kwamba this guy is smart...he can do anything to survive..and thats what makes one a man....!!
I admire people who are so daring ..
 
Am nt one his fan lkn simchukii,namuombea afike mbali zaidi ya hapa bz ni kijana anatafuta kama mimi.
 
Siku zote Diamond anajitahidi sana ila alikuwa anabugi waleta uzi wake humu walikuwa wanazidisha chumvi kiasi kwamba uzi unabadilika maana kabisa.
 
Back
Top Bottom