ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Wengi sana najua hawajailewa Video ya ENEKA ya Diamond Lakini hii ni kutokana na kukurupuka katika kuangali video!!!
Hii video ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa Diamond ni Mbunifuu sanaa na hii video kaibuni sanaaa
Mwanzo kabisa Diamond anaonekana anapita jangwani na mkoko wake ghafla anamuona mwanamke mzuriiii mfano wa Malaika kumbe ni Jini anamua kumfuataa kuelekea pale alipo simama yule Dada mzurii... Wakati anakaribia ghafla yule dada Anapotea..anamtafuta huku na kule anamkuta kwenye Gari yake aliyo park anamuangalia kimahaba! Diamond anaamua kumfuata tena huku akiwa anamuimbia....Ghafla tena demu anapotea pale kwenye gari diamond huku akiwa anashangaa anamuona demu yuleee then demu anamuita diamond na kumtaka amfuatee alikoo demu anaingia kwenye kinjia kisicho eleweka diamond kumfuata anajikuta ametokea kwenye sayari nyingine yenye watoto wakalii na kwa mbali anamuona yule demu akishuka ngaziii...kumfuatilia anajikuta anatokea kule aliko kuwa na Demu kamkosaaaa
Huu ni ubunii na ambao hamkuelewa ndi hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app