Diamond Na Eneka Ni ubunifu!

Diamond Na Eneka Ni ubunifu!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Wengi sana najua hawajailewa Video ya ENEKA ya Diamond Lakini hii ni kutokana na kukurupuka katika kuangali video!!!

Hii video ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa Diamond ni Mbunifuu sanaa na hii video kaibuni sanaaa

Mwanzo kabisa Diamond anaonekana anapita jangwani na mkoko wake ghafla anamuona mwanamke mzuriiii mfano wa Malaika kumbe ni Jini anamua kumfuataa kuelekea pale alipo simama yule Dada mzurii... Wakati anakaribia ghafla yule dada Anapotea..anamtafuta huku na kule anamkuta kwenye Gari yake aliyo park anamuangalia kimahaba! Diamond anaamua kumfuata tena huku akiwa anamuimbia....Ghafla tena demu anapotea pale kwenye gari diamond huku akiwa anashangaa anamuona demu yuleee then demu anamuita diamond na kumtaka amfuatee alikoo demu anaingia kwenye kinjia kisicho eleweka diamond kumfuata anajikuta ametokea kwenye sayari nyingine yenye watoto wakalii na kwa mbali anamuona yule demu akishuka ngaziii...kumfuatilia anajikuta anatokea kule aliko kuwa na Demu kamkosaaaa

Huu ni ubunii na ambao hamkuelewa ndi hvyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Diamond umeamua kuja kujipa promo mwenyewe huku aisee..na kwanini ucopy and paste video ya R2bees tonight??

39213a280683e3b25b347d5aaf600d0e.jpg

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Diamond kwenye upande wa video kali hana mpinzani Africa nzima
 
Kwa hiyo Diamond umeamua kuja kujipa promo mwenyewe huku aisee..na kwanini ucopy and paste video ya R2bees tonight??

39213a280683e3b25b347d5aaf600d0e.jpg

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Chuki zingine hazifai.Vijana wa kitanzania ndo mana hatufiki popote.Kisa wivu na chuki za kijinga.
Kama ni kizuri kinaigwa tu na hao mnaosema hawajui muziki kila siku wanaleta tuzo nyumbani tena za heshima,afu cha ajabu hao mnaosema wanajua kila siku wananyoa ndevu pale kkoo.
WAKATI MWINGINE TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA KATI YA KILICHO BORA NA UNACHOKIPENDA.
 
Tuliza munkari mzee uchomwe sindano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tukubaliane tu domo yupo bongo bahati mbaya
 
Unajua kuna kukopy na kupest lakin ukisikia kuiba ndo zaidi sasa jamaa anaiba huyo AF wengine wanasema mbunifu Hata video ya Jason derulo swalala ameiba kwenye video yake ya fire af mnasema mbunifu ...u......... Ake walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki zingine hazifai.Vijana wa kitanzania ndo mana hatufiki popote.Kisa wivu na chuki za kijinga.
Kama ni kizuri kinaigwa tu na hao mnaosema hawajui muziki kila siku wanaleta tuzo nyumbani tena za heshima,afu cha ajabu hao mnaosema wanajua kila siku wananyoa ndevu pale kkoo.
WAKATI MWINGINE TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA KATI YA KILICHO BORA NA UNACHOKIPENDA.
mbona mnajichanganya? si mmesema ni ubunifu!!!!! sasa mnapata challenge kwamba ubunifu hapo haupo bali amecopy somewhere mnabadilisha lugha eti chuki. . ..
 
Kwanza video ya Eneka ina error.. Kuanzia kwenye sekunde 0:04 hadi 0:07 anaendesha gari ni tofauti kabisa na Daimond.. Jamaa mweusi mnene kavaa shati la Blue bahari ndio anaendesha gari!!!!
 
Kwanza video ya Eneka ina error.. Kuanzia kwenye sekunde 0:04 hadi 0:08 anaendesha gari ni tofauti kabisa na Daimond.. Jamaa mweusi mnene kavaa shati la Blue bahari ndio anaendesha gari!!!!
 
Wengi sana najua hawajailewa Video ya ENEKA ya Diamond Lakini hii ni kutokana na kukurupuka katika kuangali video!!!

Hii video ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa Diamond ni Mbunifuu sanaa na hii video kaibuni sanaaa

Mwanzo kabisa Diamond anaonekana anapita jangwani na mkoko wake ghafla anamuona mwanamke mzuriiii mfano wa Malaika kumbe ni Jini anamua kumfuataa kuelekea pale alipo simama yule Dada mzurii... Wakati anakaribia ghafla yule dada Anapotea..anamtafuta huku na kule anamkuta kwenye Gari yake aliyo park anamuangalia kimahaba! Diamond anaamua kumfuata tena huku akiwa anamuimbia....Ghafla tena demu anapotea pale kwenye gari diamond huku akiwa anashangaa anamuona demu yuleee then demu anamuita diamond na kumtaka amfuatee alikoo demu anaingia kwenye kinjia kisicho eleweka diamond kumfuata anajikuta ametokea kwenye sayari nyingine yenye watoto wakalii na kwa mbali anamuona yule demu akishuka ngaziii...kumfuatilia anajikuta anatokea kule aliko kuwa na Demu kamkosaaaa

Huu ni ubunii na ambao hamkuelewa ndi hvyo

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaaaaaaaaaa uuuuuuwi halo ngumu tumeanza kutafsiriana video humu ndani sasa....PAMBANENI NZ HALI ZENU ngoma mbaya video upupu vinyago alivyovichonga (rayvanny,harmonize,mavoko) vinamtisha broo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom