Diamond na Harmonize kutoa nyimbo zao siku moja

Diamond na Harmonize kutoa nyimbo zao siku moja

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it"

Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue.

Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja tusubirie nyimbo hizo.

20240125_184307.jpg

Harmonize, Bobby Shmurda & Bien 🎶

20240125_184304.jpg

DiamondPlatnumz & Mr Blue 🎶

Written by Mjanja M1
 
Harmonize kakimbia amegaili ashukuru sana aliyempa ushauri angepata aibu ya kufungua na kufunga mwaka kama alivyofichwa na D voice.
 
Back
Top Bottom