Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Jan 25, 2024 #1 Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it" Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue. Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja tusubirie nyimbo hizo. Harmonize, Bobby Shmurda & Bien 🎶 DiamondPlatnumz & Mr Blue 🎶 Written by Mjanja M1
Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it" Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue. Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja tusubirie nyimbo hizo. Harmonize, Bobby Shmurda & Bien 🎶 DiamondPlatnumz & Mr Blue 🎶 Written by Mjanja M1
MLIMAWANYOKA JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 631 Reaction score 2,247 Jan 25, 2024 #2 Waanze kushindana kununua viewers
Caesar14 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2022 Posts 556 Reaction score 1,044 Jan 25, 2024 #3 Kazi ipo,ila kimsingi siyo jambo la ajabu.
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,550 Reaction score 12,239 Jan 25, 2024 #4 Ngoja tuone
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,344 Reaction score 9,066 Jan 25, 2024 #5 Harmonize kakimbia amegaili ashukuru sana aliyempa ushauri angepata aibu ya kufungua na kufunga mwaka kama alivyofichwa na D voice.
Harmonize kakimbia amegaili ashukuru sana aliyempa ushauri angepata aibu ya kufungua na kufunga mwaka kama alivyofichwa na D voice.