Diamond na Harmonize wampe somo AliKiba

Diamond na Harmonize wampe somo AliKiba

Mtoa mada hujui mziki Mondi na Harmonize wanaimba taste za kinaijeria ambazo wanaijeria walizipigania na zimefanikiwa ndiyo maana unahisi Mond na Harmonize wamefanikiwa ndiyo wamefanikiwa kwa kuimba taste za watu wengine Alikiba anakomaaa na bongo fleva na uwezo wa Alikiba ndiyo uwezo wa bongo fleva.

Honestly bongo fleva haijapga hatua saaaan ndiyo maani Alikiba hajapiga hatua

Kuhusu matangazo Alikiba alisema matangazo yanakuj tatizo Bei

Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye siku hizi anaimba yale yale ya kinaijeria amepoteza direction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ukweli unaomiza tumeshamuona Diamond akipiga hatua kumi mbele ya Alikiba akaja akamtoa kijana Harmonize ambaye nae amepiga hatua tano mbele kwa Alikiba.

Hapa nazungumzia hatua za kimuziki, shows, mauzo ya nyimbo kwenye platform mbalimbali tukiende kwa Diamond yeye ameenda mbele zaidi kwakua mfanyabiashara anayemiliki online media, radio station, television na pia kampuni ya utengenezaji video Zoom extra.

Kwenye masuala ya kuwa balozi kwenye makampuni makubwa Diamond yupo mbele zaidi akifuatiwa na Harmonize ambaye yeye ni balozi wa makampuni ya Sayona drinks na leo ametangazwa kuwa balozi wa CRDB bank .

Ushauri wangu kwa Alikiba inabidi ajifunze kwa hawa vijana wenzake tena ikibidi akaombe darasa apigwe msasa yeye na mameneja wake.
Amtoe na RAYVAN kwanza apate hata ubalozi wa pipi toffi afu aje kwa king Kiba kumpa somo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unaposema "matangazo mengi yanakuja tatizo bei "

Mkuu bei kama za matangazo ya benki, makampuni ya simu, vinywaji n.k ni ndogo kiasi hicho? Hujui kwamba unapopata tangazo ambalo linakutambulisha kwako pia inakuwa platform ya kusikika zaidi.

Makampuni yanaangalia mtu ambaye amechangamka na anafuatiliwa hawawezi kumpa tangazo mtu ambaye ni mzembe na hana jitihada.

Hiyo kauli ya kusema matangazo hayana bei ni kauli za mkosaji

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Kufuatiliwa si kunaanzia hapo?..
Screenshot_2020-04-26-08-15-45.jpeg
Screenshot_2020-04-26-08-12-20.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom