Aisee kwa kuwa umeshindwa kuelewa acha nikueleweshe , hiyo post inasema "Hana hela yule ananunua vitu feki used halafu chini unakuta anayesema hivyo kavaa" picha iliyowekwa chini inaonyesha mtu aliyevaa kiatu kilicho andikwa "PAMU" hiyo ni brand feki ya kiatu cha "PUMA".
Sasa huyo anayesema gari ni feki huku kavaa "PAMU" ya sh 20,000 baadala hata ya kununua "PUMA" ambayo ni 200,000 - 300,000 anatoa wapi hiyo "moral authority" ya kuongea hivyo wakati hata madogo yamemshinda.
Sasa response yako inaonekana umenishutumu kuwa na chuki, kutokukubali kwamba ni gari ya 2021 wakati post yangu ilikuwa inaonyesha kukubaliana na upande uliosimama.
To keep the story shrot whether ni Rolls Royce ya 2021, au 2001 , feki au sio feki ....yoyote atakaye onyesha dharau au kuiponda ajiangalie mwenyewe ni vitu feki vingapi alivyonavyo na atuonyeshe hata hiyo Rolls Royce yake iliyofeki au ya zamani kama he/she can afford it...isiwe kelele za debe tupu.
Next time read between the lines and keep your emotions in check, it can improve your level of comprehension !