Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

Mie toka adanganye amenunua rolls R
oyce toka Mwaka 2018 had leo halijaingia Tz ndo nkajua Kweli mondi NTU WA DILI[emoji16]. Mara anasema ana hotel Sijui wapi , mpaka wa leo hatujawah kuisikia tena , na ile mall ya wasafi Sijui imeishia nchi gani au ndo imekufa na corona, mara Sijui ana perfume zake hadi leo hazipo, mara Diamond karanga.

Mond nyumba ambazo anamiliki zipo kama nane hiv ambazo anapangisha ila anashindwa kuzipost kwa kuwa hazina hadhi yake anavyoona yeye, ila kwa kujitahidi tu yuko vzur hawezi kulala na njaa hata akiacha kuimba Tatizo tu cheusi dawa anapenda kujiweka kwenye level ambazo hajafika, yani anapenda kuonekana yeye ni millionare wa kutisha wakati hajafika huko bado, kuna Vijana wenzie hapa bongo wana pesa kumzidi, wana utajiri wa kutisha sema tu hawana umaarufu kama domo , domo aache kujifanya ana pesa sana wakat anachezewa tu na wafanyabiashara Wenye pesa zao, wanamtumia jina lake hili aonekane anamiliki bidhaa au mali flan kumbe ni zuga tu


View attachment 1770440
 
IMG_4629.jpg
 
Magodoro tumeloeka majii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Hater
Poor you

RR keshanunua haya sema ndege
Tukufukue miaka mitano mbele[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naungana nawe kwa 10,000%! Huyu jamaa kinachofanya nimkubali ni hustle zake tu. Habari zingine huwa nawaachia wenye team zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi, hustlers zake from zero mpaka kuwa one of the most successful youths in Tanzania na among the most influential figures kwenye taifa hili ambaye hata raisi anampigia simu si jambo dogo.
 
Back
Top Bottom