Wasafi Radio na TV yeye ndiye mmiliki kumbe?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Nilifikiri ni Kusaga & Family..
South ana ghorofa alafu Bongo kapanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safari binafsi anasafiri na Msululu kumbe.. Hongera zake..
Hao wasanii wanakula jasho lao, hawali pesa ya Daimond. After all hao wasanii wake wote nao wanakaa nyumba za kupanga kama boss wao. Itakuwa nao wana malengo ya kujenga dream house kama boss wao au sio [emoji23][emoji23][emoji23]
To make a story short, Wasafi wanapenda show offs ila wana malengo ya muda mrefu ya kujenga dream houses