Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Nyumba ya S.A bado mnabisha kuwa siyo ya kwake mpaka leo? AiseeAnavyopenda sifa na kujimilikisha nyumba za kupanga South unafikiri angekuwa na pesa ya kujenga dream house sasahivi hapa Bongo asingejenga??
Hizo show off za pesa ni zipi? Kupanda ndege kwenda South kupumzika wiki moja au kwenda Dubai vacation?? Ebu niambie hizo show za pesa nyingi unazozisema mkuu
Kama ni show off ebu tuchukulie hizi japo mimi siamini kama ni showoff
Kumiliki Wasafi Radio na TV ukawalipa mishahara wafanyakazi zaidi ya 50 wanaofanya kazi pale.
Kusafiri na msululu wa watu kila mara.
Kumiliki wasanii ambao nao wana show off kama Rayvanny, Zuchu na Mbosso. Hiyo ela ya showoff wanazofanya wanazitoa wapi?