Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

Starting from the bottom now he is here.
Kwa hilo namuheshimu. Siyo mwanasiasa, siyo profesa, lakini ana roll na watu top notch nchi hii.
Kupitia yeye vijana wengi wamejua kuwa everything ia possible haijalishi umetokea kwenye background gani.
 
Mkuu achana na story za hivi zimepitwa na wakati. Vijana siku hizi wana pesa
Ndio lakin wachache sio kila mnaeambiwa tajiri ni tajiri wengine nyuma yao kuna watu wanawekeza mfano mabasi ya scandnavia nyuma yake mwinyi alikuwepo ilikuja kugundulika baadaye yalivyopukutika
 
Starting from the bottom now he is here.
Kwa hilo namuheshimu. Siyo mwanasiasa, siyo profesa, lakini ana roll na watu top notch nchi hii.
Kupitia yeye vijana wengi wamejua kuwa everything ia possible haijalishi umetokea kwenye background gani.
Word.
 
Nikajua masaki au mbezi beach , mie mwenyewe nimejenga kunduchi, Yan staa mkubwa unaenda kujenga mwananyamala mxieww
Na mimi nashangaa kwa utajiri tunaoambiwa uka invest Mwananyamala ? Si maanishi Mwananyamala hapapaswi kuwekezwa lkn come-on. Alizingatia Return on investment, risks etc?
 
Umeshuhudia kwa macho mi nkadhan umeona hati ya nyumba , kama kushuhudia kwa macho sie tumeona nyumba zaidi ya mia mbili zote za domo kwa mujibu wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilimsikia Yule Jamaa anaitwa Level anasema Mondi ana nyumba 126 ha haaa
 
Binamu punguza wivu, mtaa mzima kakomba vile vinyumba kabomoa kajenga mansions, Sandra anakomba kodi on monthly basis...Domo ana pesa ka mchanga[emoji134]
Dea plz siamin km unae andika n wee au unakosea kutype? Yaan domo awe na pesa chafu kias hicho? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana aseeeh usidanganyke kirahisi hivyo lol.
 
Nikajua masaki au mbezi beach , mie mwenyewe nimejenga kunduchi, Yan staa mkubwa unaenda kujenga mwananyamala mxieww

Nilishawahi kusema kama mtu una hela utajengaje kwenye kiwanja kama kiganja cha mkono? Nilitoa ushauri kama Domondi ana hela basi ajitahidi anunue ekari nne 126m kwa 126m kisha apige mjengo wa hatari kama wa Playboy au 50 cent! Star mkubwa unaenda kujenga kwenye kiwanja cha miguu 25 kwa 20 tena skwata???
 
Back
Top Bottom