Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
True kwanza ni mbinafsi ukiwa na shida anakufungia viooWewe kenge acha kufatilia maisha ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True kwanza ni mbinafsi ukiwa na shida anakufungia viooWewe kenge acha kufatilia maisha ya watu
Hivi zile karanga sijui zimeishia wapi.Mie toka adanganye amenunua rolls Royce toka Mwaka 2018 had leo halijaingia Tz ndo nkajua Kweli mondi NTU WA DILI[emoji16]. Mara anasema ana hotel Sijui wapi , mpaka wa leo hatujawah kuisikia tena , na ile mall ya wasafi Sijui imeishia nchi gani au ndo imekufa na corona, mara Sijui ana perfume zake hadi leo hazipo, mara Diamond karanga.
Mond nyumba ambazo anamiliki zipo kama nane hiv ambazo anapangisha ila anashindwa kuzipost kwa kuwa hazina hadhi yake anavyoona yeye, ila kwa kujitahidi tu yuko vzur hawezi kulala na njaa hata akiacha kuimba Tatizo tu cheusi dawa anapenda kujiweka kwenye level ambazo hajafika, yani anapenda kuonekana yeye ni millionare wa kutisha wakati hajafika huko bado, kuna Vijana wenzie hapa bongo wana pesa kumzidi, wana utajiri wa kutisha sema tu hawana umaarufu kama domo , domo aache kujifanya ana pesa sana wakat anachezewa tu na wafanyabiashara Wenye pesa zao, wanamtumia jina lake hili aonekane anamiliki bidhaa au mali flan kumbe ni zuga tu
View attachment 1770440
Nasubiria jibu hapa.hivi ile project ya kulipia watu kodi iliisha?
kunduchi pwani!!Nikajua masaki au mbezi beach , mie mwenyewe nimejenga kunduchi, Yan staa mkubwa unaenda kujenga mwananyamala mxieww
Ila si umejenga moja mkuu ...ye Mwananyamala hajajenga mojaNikajua masaki au mbezi beach , mie mwenyewe nimejenga kunduchi, Yan staa mkubwa unaenda kujenga mwananyamala mxieww
Tajiri anahama kwenye nyumba yake anaenda kupanga..Nilishawahi kusema kama mtu una hela utajengaje kwenye kiwanja kama kiganja cha mkono? Nilitoa ushauri kama Domondi ana hela basi ajitahidi anunue ekari nne 126m kwa 126m kisha apige mjengo wa hatari kama wa Playboy au 50 cent! Star mkubwa unaenda kujenga kwenye kiwanja cha miguu 25 kwa 20 tena skwata???
Madale ni sehemu ndogo sana. Halafu ile haikuwa dream home yake mara nyingi ukijenga nyumba kwa mara yakwanza inakuwaga siyo dream home unajenga tu kwa kuhofia kesho.Tajiri anahama kwenye nyumba yake anaenda kupanga..
Nasikia kule Madale kamwachia mama yake ye kaenda kupanga
Kwahiyo tajiri baada ya kujenga dream house kaamua kwenda kupanga dream house??Madale ni sehemu ndogo sana. Halafu ile haikuwa dream home yake mara nyingi ukijenga nyumba kwa mara yakwanza inakuwaga siyo dream home unajenga tu kwa kuhofia kesho.
Ila unapotulia mambo yakazidi kukunyokea ndipo unaweza kujenga nyumba ya ndoto yako. Kwa kipindi kile aliona kajenga mjengo wa maana ila muda ulivyozidi kwenda akagundua ile nyumba haiendani naye tena.
Huwezi jua labda kapanga huku akijenga. Mjini mipango ngoja ngoja ashasema siku akiacha kupanga atawashangaza.Kwahiyo tajiri baada ya kujenga dream house kaamua kwenda kupanga dream house??
Anataka kutushangaza kama alivyotushangaza kwenye Rolls Royce sioHuwezi jua labda kapanga huku akijenga. Mjini mipango ngoja ngoja ashasema siku akiacha kupanga atawashangaza.
Mimi binafsi siamini kama anashindwa kujenga nyumba, kwa level aliyofikia hata kama.amayofanya ni show off hizo show off tu zinahitaji uwe na pesa na pesa kweli. Hiyo pesaa unaweza kujenga nyumba.Anataka kutushangaza kama alivyotushangaza kwenye Rolls Royce sio
Kwanini asijenge sasa?? Msanii kama yeye hatakiwi kuishi nyumba za kupanga kama akina Rayvanny na HarmonizeMimi binafsi siamini kama anashindwa kujenga nyumba, kwa level aliyofikia hata kama.amayofanya ni show off hizo show off tu zinahitaji uwe na pesa na pesa kweli. Hiyo pesaa unaweza kujenga nyumba.
Kila mtu ana mipango yake na maono yake. Mipango na maono yake ndiyo yamemfikisha hapo alipo, angefikiria kama kila mtu anavyofikiri huenda angeshapotea kwenye ramani ya mziki.Kwanini asijenge sasa?? Msanii kama yeye hatakiwi kuishi nyumba za kupanga kama akina Rayvanny na Harmonize
Hivi zile karanga sijui zimeishia wapi.
Maono au bado hana pesa ya kujenga dream house??Kila mtu ana mipango yake na maono yake. Mipango na maono yake ndiyo yamemfikisha hapo alipo, angefikiria kama kila mtu anavyofikiri huenda angeshapotea kwenye ramani ya mziki.
Mkuu hujawahi kukutana na mtu ana pesa kukuzidi lakini hamiliki gari au ana gari halilingani ubora na thamani ya gari ulilonalo wewe?Maono au bado hana pesa ya kujenga dream house??
Anavyopenda sifa na kujimilikisha nyumba za kupanga South unafikiri angekuwa na pesa ya kujenga dream house sasahivi hapa Bongo asingejenga??Mkuu hujawahi kukutana na mtu ana pesa kukuzidi lakini hamiliki gari au ana gari halilingani ubora na thamani ya gari ulilonalo wewe?
Ni malengo na mtazamo binafsi wa mtu, na target. Yani hata iwe ni show off anaongeza digits, lakini bado atakuwa na ela yule kijana maana hizo show off zenyewe anazofanya zinakula pesa, kama huna pesa huwezi rudia mara mbili unaishia kuwa Dallaz.