Diamond na Mbosso washindana mauno, nani zaidi?

Mechanism ya kufanya kiuno kikatike sijawahi ielewa.
Nahisi wanawake wameumbwa na karama hiyo tu, maana wao hata wakiwa wanatembea uno linakata..

Ila hao wanaume wanaokata kama wadada, huenda kuna katatizo mahala.
 
Basi DRC yote ni matatizo.
 
Muonekano wa diamond siku hizi siupendi, anavaa mapajama kila siku hapendezi na hayo manywele.

jamaa anasumbuliwa na matatizo mawili makubwa, Kwanza matumizi ya sembe yamekua makubwa sana na jengine inavyosemekana kuna vijana wanampumulia.
 
Jamaa yupo kama lily wine sasa hv, yaan had anatisha
 
Back
Top Bottom