Diamond na saa fake

Kumbe hata saa fake washazipiga marufuku kuvaliwa tz??? Maisha yako mbio sana
 
Herman tayari Diamond keshatengeneza legacy yake na future yake.. Katimiza sehemu kubwa ya ndoto zake... Tutumie muda huu adhimu nasi kutengeneza legacy na future zetu ili siku nasi tukivaa makatambuga tuwe gumzo

Jr[emoji769]
 
Hata majira haisomi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haisomi majira ya sayari dunia?
 
Hasara ya kulewa mbege
Mkuu acha kuhusisha kinywaji chetu pendwa na hoja mbovu ya mtoa post.
Avae saa fake au original ni maamuzi yake binafsi.
Mimi binafsi tokea niwe namiliki simu sijawahi kutumia saa ya mkononi muda naangalia Kwenye simu
 
Kama ni kweli mwambieni aache kuvaa midosho bora calture...hiyo mivitu amwachei Davido
 
Picha za uthibitisho ili kusapoti Uzi ziko wapi na unatoa wapi ujasiri wa kuanzisha mada kama hii bila picha ?
 
Og anayo hapend show off siku hizi...kwa diamond kitu OG alichonacho ni KINYWA hahahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…