Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mbona tunatamanishana kiasi hicho.mkuu embu wacha fujo.View attachment 1451971
Herman tayari Diamond keshatengeneza legacy yake na future yake.. Katimiza sehemu kubwa ya ndoto zake... Tutumie muda huu adhimu nasi kutengeneza legacy na future zetu ili siku nasi tukivaa makatambuga tuwe gumzoSwala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130.
Kupitia ukurasa wake wa Instergram Diamond alipost picha akiwa kavaa saa hiyo baada ya masaa machache ukurusa unaotambulika kama fake watch ukurasa unaofuatiliwa na wasanii mbalimbali na wakubwa duniani ikiwa na Kanye west, Chris Brown, Justin Bieber na wengine wengi mtandao unaojihusisha na vitu fake pia ulipost picha hyo ikieleza kuwa saa iliyovaliwa ni msanii huyo ni fake.
Herman tayari Diamond keshatengeneza legacy yake na future yake.. Katimiza sehemu kubwa ya ndoto zake... Tutumie muda huu adhimu nasi kutengeneza legacy na future zetu ili siku nasi tukivaa makatambuga tuwe gumzo
Jr[emoji769]
Hata majira haisomi?Swala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130.
Kupitia ukurasa wake wa Instergram Diamond alipost picha akiwa kavaa saa hiyo baada ya masaa machache ukurusa unaotambulika kama fake watch ukurasa unaofuatiliwa na wasanii mbalimbali na wakubwa duniani ikiwa na Kanye west, Chris Brown, Justin Bieber na wengine wengi mtandao unaojihusisha na vitu fake pia ulipost picha hyo ikieleza kuwa saa iliyovaliwa ni msanii huyo ni fake.
Swala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130.
Kupitia ukurasa wake wa Instergram Diamond alipost picha akiwa kavaa saa hiyo baada ya masaa machache ukurusa unaotambulika kama fake watch ukurasa unaofuatiliwa na wasanii mbalimbali na wakubwa duniani ikiwa na Kanye west, Chris Brown, Justin Bieber na wengine wengi mtandao unaojihusisha na vitu fake pia ulipost picha hyo ikieleza kuwa saa iliyovaliwa ni msanii huyo ni fake.
haisomi, inaandika tuHaisomi majira ya sayari dunia?
nani Nani kala
Mkuu acha kuhusisha kinywaji chetu pendwa na hoja mbovu ya mtoa post.Hasara ya kulewa mbege
Kwa wewe kuchangia tu,umeonesha upo pamoja nasiUzi tayari.
Wanaume wa dar mna mambo sana
then still to be fake
ebu nikavifanyie u chunguziHaya hebu tuambie na hivi alivyovaa hapa ni fake ama siyo fake..View attachment 1453806
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eeeeh[emoji23][emoji23][emoji23] misukule insta ilikua inajitapa na kudadavua bei
Og anayo hapend show off siku hizi...kwa diamond kitu OG alichonacho ni KINYWA hahahahahaaaSwala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130.