Diamond na saa fake

Diamond na saa fake

😂😂😂😂😂 Raha ya kuwa mTanzania
 

Attachments

  • FB_IMG_15819346942071027.jpg
    FB_IMG_15819346942071027.jpg
    37.5 KB · Views: 2
Swala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130.

Kupitia ukurasa wake wa Instergram Diamond alipost picha akiwa kavaa saa hiyo baada ya masaa machache ukurusa unaotambulika kama fake watch ukurasa unaofuatiliwa na wasanii mbalimbali na wakubwa duniani ikiwa na Kanye west, Chris Brown, Justin Bieber na wengine wengi mtandao unaojihusisha na vitu fake pia ulipost picha hyo ikieleza kuwa saa iliyovaliwa ni msanii huyo ni fake.
Si ungewawekea vijana wenzako link ya huo mtandao kama deliverable ya kile unachozungumza
 
Aliyeandika uzi huu ni jinsia gani? Anatambua Jf siyo Instagram ama huko fb? Acha mambo ya ajabu bhana,kavaa SAA safi kabisa...iwe fake ama iwe original wewe inakuwashia nini?

Km ni jinsia me, nenda Hosp ukafanyie upasuaji hustahili kumiliki hyo bakora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom