Diamond na Wema, Full drama!

Diamond na Wema, Full drama!

namhurumia wema!!

Unamhurumia kwa ajili ameacha haya niliyoyawekea rangi?: mie kifua chake tu wallah! Zile packs ni noumerrrrrrrrrr!! Lets call a spade a spade! Inavyoonyesha na yeye anajihurumia na inavyoonyesha anataka watu wamhurumie ndo maana akatoa ile post kuleee, kama vipi mi naona ampotezee tu jamaa, ila mara nyingi wanasema unapojitahidi kumpotezea mtu ndo akili inazidi kumtaka sijui atafanyaje masikini.
 
jamani wema achana na huyo mtoto wa tandale mshamba eti sukari ya warembo nyooooooooooo mbwa wewe na wanawake woote tushakushtukia mchafuzi mkumbwa wewe, mbona wa kina FA AY wametulia au unafikiri hao hawana wanawake nakuambia huna haya na liroho lako libaya kama sura yako...na utashuka tu mbwa wewe tandale mkubwa kwanza huyo halima unamkula unajidai dada dada sasa sikia sisi tunampenda wema kuliko wewe umsikia wananchi tunampenda wemaaaaaaaaaaaaaaa we ndo utashuka na si wema divaaaaa mzuri anajiamini... nachojua alikupigia sim kama x kwani alikutongozaaaaaaaaaaa mbona hatukusikia....nasema mimi sijawahi comment huku ila nimeumia huyu ---- wa mbagala kumuumiza wema wetu
 
Nathubutu kusema diamond hajawahi kuona mama yake amepata upendo kutoka kwa mwanaume hivyo. kamwe hawezi.kujua thamani ya upendo kwa mwanamke..,,,,,,,,
Unataka utuonyeshe kwamba wewe ni bingwa wa kupendwa au
[h=5]lakin kwa ulichokifanya inaonyesha u want our attention na we will give u nothing more than shits.
[/h][h=5]want 2 show us ww ni bingwa na unapendwa? umekusudia kumdhalilisha?[/h]

Hee hii balaa sasa,hadi wewe leo unamponda?
 
mie kifua chake tu wallah! Zile packs ni noumerrrrrrrrrr!! Lets call a spade a spade!
Ujinga mwingine huu, si umwambie bwana wako naye anyanyuwe vyuma na kupiga pushapu? vipi na lile domo linakuvutia?
 
ujinga mwingine huu, si umwambie bwana wako naye anyanyuwe vyuma na kupiga pushapu? Vipi na lile domo linakuvutia?
ubabe wako peleka kwa mkeo!! Nilikwambia bwana wangu ana tambi ka lako!! Kuhusu domo muulize mkeo kama linamvutia!! Ondoa command zako za nyumbani kwako humu!!
 
ubabe wako peleka kwa mkeo!! Nilikwambia bwana wangu ana tambi ka lako!! Kuhusu domo muulize mkeo kama linamvutia!! Ondoa command zako za nyumbani kwako humu!!
Siwezi kushangaa bwana wako kuwa na mtumbo kama wa kwako, wewe ulikuwa wapi kushindwa kumshape!? tatizo lako Mwanamke mzima na wewe unataka ule supu ya kongolo wewe, supu ya ulimi wewe, supu ya kichwa wewe humo tu utawacha kutoka kitambi na minyama uzembe ya ubavuni? na kali zaidi bia unayokunywa ni Serengeti, baasi shida tupu shapeless woman.
 
Ww kama fan wao unadhani baada ya Diamond kumrekodi wema alipompigia cm na kusambaza kwenye social network unadhani ni suluhisho sahihi kwa Wema? audio clip hiyo imesikika Wema akimbembeleza Diamond warudiane.

Weka hiyo clip mkuu.
 
This's bulshit. Guyz, huyu diamond ana upeo mdogo sana wa kufikiri na hili liko wazi. imagine yeye ishu zake nyingi ni galz. Nway, the most stupid person here ni huyu aliyeupload hii clip, wht the f***? Unaweza vp kuweka clip ya mazungumzo ya mtu kwenye media then unaipa promo kibao ili watu waisikilize? Acheni mambo yasiyo na msingi mazee.Penny na Diamond wote mataahira wakubwa nyie? Pumbavu zenu kabisa. Mnafikiri umalaya ndo ustaa? kwendeni zenu hamna hata haya, mbwa nyie. Mumeona watu hawana time na nyie ndo mwafanya vituko ili kutafuta attention ilikwishapotea - ovyooooooooooo
 
Siwezi kushangaa bwana wako kuwa na mtumbo kama wa kwako, wewe ulikuwa wapi kushindwa kumshape!? tatizo lako Mwanamke mzima na wewe unataka ule supu ya kongolo wewe, supu ya ulimi wewe, supu ya kichwa wewe humo tu utawacha kutoka kitambi na minyama uzembe ya ubavuni? na kali zaidi bia unayokunywa ni Serengeti, baasi shida tupu shapeless woman.
nimejua leo, akili zako na mganga wa kienyeji mpiga ramli zinafanana! siwezi kujibizana na wewe, nitaonekana, mpumba.vu, hayawani na mjinga! acha waji.nga wajudge wajing.a wenzao!! jioni njema!!
 
Sasa bora hata Ludovick alie rekodi na kusambaza video ili kuponesha maishsa ya msacky na kufichua ughaidi. Huyu amefsnya hivi kwa faida ya nani?
Kweli wahenga walisema limbukeni ni hivi tu...
 
go to hell diamond domo limekuregea ka............. I said go to hell coz u deserve to be there
huna jimpya zaidi ya ushamba...upuuzi...huna maana una tabia za kiswahili izo pesa zako za shoo znakuzngua sio jali utu yote iyo umefanya show off kama ulivoenda msiban kwa marehemu bi kidude unajipga pic unapost kwenye blog yako kuanzia ukiondoka dar ad Zanzibar unajicapture tu izo pesa zako za kubadili nguo na mboga znakuzuzua Co dc z Tanzania uko apo ulko kwa sababu ye2
go to hell diamond
kama wewe n bingwa wa kurecord why usingerecord ulivoenda kulala na Irene uwoya hotelin
 
mie despite all this I LOVE YOU DIAMOND.....
kwa vile reading mbali na sijui kudrive ningekuja kny show yako waliyo boycot
wengi sana wakipata fame na mafanikio huwa confused,nahisi pia ndio kwako usisahau ulikotoka bro....hapa umesahau ni mgongano wa watu wawili wenye the same personalities nayo ni kupenda attention.... i bet hii sio maara ya mwisho kumtafuta diamond,akikutafuta mchunie...huyu ni mwiba kwako,

na nyie wana JF hamjui mapenzi ya watu hayaingiliwi,nyie ropokeni kesho muwaone wako pamoja.....wanakula na kupakua
 
mbagala, mawazo ,kesho ,nenda kwa mwambie nataka kulewa,kizai zai.....proves to you FOOLS diamond is a legend,kijana aliyetoka katika familia duni....MAKING IT HAPPENING,....ila leo hayo hamyaoni mnaona domo sijui nini kama vile ni wakamilifu...mxiuuuu
 
Back
Top Bottom