Safina
JF-Expert Member
- Jun 18, 2009
- 497
- 64
namhurumia wema!!
Unamhurumia kwa ajili ameacha haya niliyoyawekea rangi?: mie kifua chake tu wallah! Zile packs ni noumerrrrrrrrrr!! Lets call a spade a spade! Inavyoonyesha na yeye anajihurumia na inavyoonyesha anataka watu wamhurumie ndo maana akatoa ile post kuleee, kama vipi mi naona ampotezee tu jamaa, ila mara nyingi wanasema unapojitahidi kumpotezea mtu ndo akili inazidi kumtaka sijui atafanyaje masikini.