nguo kama nguo nyingine?? inamaana anaweza akavaa nguo ambayo imeandikwa kwamba yeye ni gasho?Hyo si nguo tu kama nguo nyngine
We unafahamu malengo ya microsoft, toyota, nissan, cocacola, olyimpic, apple, intel, bendera ya israel, soka, mc donalds, pepsi, adidas, nike, mgunduzi wa umeme, mgunduzi wa simu, madhehebu ya dini? Ubaya wa kitu uja kwenye matumizi mf kisu kinaweza uwa na kinaweza kukatia kitunguu, nyuklia inaweza tengeneza nishati na inaweza tengeneza bomu. Ni haki yako kujua maarifa ya ulimwengu na kuyatumia katika namna nzuri.Ndio maana nimeuliza,anafahamu malengo ya kusambazwa kwa hizo nguo au ni swaga au amejiunga!Sijasema lolote zaidi ya kuuliza!Binafsi siwezi vaa vazi nikijua lina maandishi yanayopingana na imani yangu!Na hapo sijazungumzia vazi limetoka kwa nani,nazungumzia ujumbe!Kama kanye west ana brand nyingine naweza nikawa nimtumiaji ila lisiwe na maneno yenye kuleta ukakasi kwa imani yangu
Kanye west alishaweka hadharani nini maana ya "yeezus"!Kwahiyo wafuasi wake humuita hivyo na wanajua dini hiyo mpya masihi wao ni "yeezus"Yeesuz pia ni nickname yake,huwa anajulikana kama "Ye" wengine huita yeezy na pia jesus ni jina huru kutumia coz watu wengi wanaitwa yesu tu koz ni jina ka majina mengine ila hawaitwi Yesu Christo. kama ilivyo jina la Muhammad.
Hahahaaaaaa,kuna haja ya kujua haya maandishi yana maana gani kabla hatujatupia viwalo vyetu!Mimi kuna siku shemeji yangu alikuwa kavaa T-shirt iliyoandika "I'M PORNSTAR"
Aiseee nilijisikia aibu sana.
Halafu bonge la bishoo...dah!
Bas ata barabaran 2takua ha2tembei maana kuna roho piakwa taharifa yako nguo nyingi kwa dunia ya leo zinama Roho Kama hujui. Mkuu.
Hujaelewa,kanisome tena!Kanye west aliweka hadharani kuwa yeye ni "yeezus" na kwamba ndio masihi wa wafuasi wake katika dini hiyo mpya!Unajua ukifanya jambo bila kujua si sawa na ukiwa unajua!Ndio maana nikasema,ni vema kuwa na uchaguzi sahihi wa mavazi tunayovaa!Swali kwangu kwa diamond ni Je anajua?Kama anajua,je ni swaga tu au kashajiunga!We unafahamu malengo ya microsoft, toyota, nissan, cocacola, olyimpic, apple, intel, bendera ya israel, soka, mc donalds, pepsi, adidas, nike, mgunduzi wa umeme, mgunduzi wa simu, madhehebu ya dini? Ubaya wa kitu uja kwenye matumizi mf kisu kinaweza uwa na kinaweza kukatia kitunguu, nyuklia inaweza tengeneza nishati na inaweza tengeneza bomu. Ni haki yako kujua maarifa ya ulimwengu na kuyatumia katika namna nzuri.
Swali zuri,hata mimi logic ya uzi huu ni kumuuliza diamond!Coz yote yanawezekana,ndio maana nimeuliza je anajua alichovaa?Je,ni swaga tu au ameshajiunga na imani hiyo?Yote kati ya hayo matatu yanaweza kuwa jibu!Manchester united a.k.a mashetani wekundu.
Tena team imejiita kabisa shetani, je ina maana mashabiki wa MAN U ni wafuasi wa shetani?
Kuna windows xp longhorn, unafahamu maan ya longhorn. Still watu wanaitumia.Hujaelewa,kanisome tena!Kanye west aliweka hadharani kuwa yeye ni "yeezus" na kwamba ndio masihi wa wafuasi wake katika dini hiyo mpya!Unajua ukifanya jambo bila kujua si sawa na ukiwa unajua!Ndio maana nikasema,ni vema kuwa na uchaguzi sahihi wa mavazi tunayovaa!Swali kwangu kwa diamond ni Je anajua?Kama anajua,je ni swaga tu au kashajiunga!
Kuna windows xp longhorn, unafahamu maan ya longhorn. Still watu wanaitumia.
Ceo wa apple aliweka hadharani kiwa yeye shoga. je ina maanisha ukitumia products za apple wewe shoga.
Manchester united wanajiita red devils. Je ina maana ukishabikia man u wewe mwabudu shetani?
Ila fashion nyingine tuziache zipite tu
Sawa.. Ila ndo mana inaitwa imani.. Kila mtu ana imani yake.. Mi imani yangu ndo hiyo.. So haina haja ya mimi kuandika maneno meeengi kuthibitishaHakuna kitu kama hicho ni Imani za kijinga tu.
Nikikuambia uthibitishe hayo utaweza?
Nilitaka ni Like post hii ila roho ikasita!!anakula kwako???
analala kwako??????
Ni hivi wewe kutojua jambo halindoi ukweli kuhusu hilo jambo. Katafute ukweli kuhusu hayo baadhi niliyokutajia kwanza. Mana inaonekana kuwa una mengi zaidi ya kujifunza.Hujaelewa,kanisome tena!Kanye west aliweka hadharani kuwa yeye ni "yeezus" na kwamba ndio masihi wa wafuasi wake katika dini hiyo mpya!Unajua ukifanya jambo bila kujua si sawa na ukiwa unajua!Ndio maana nikasema,ni vema kuwa na uchaguzi sahihi wa mavazi tunayovaa!Swali kwangu kwa diamond ni Je anajua?Kama anajua,je ni swaga tu au kashajiunga!