Diamond ni kutojua au umejiunga na dini hii mpya!?

Diamond ni kutojua au umejiunga na dini hii mpya!?

Ndio maana nimeuliza,anafahamu malengo ya kusambazwa kwa hizo nguo au ni swaga au amejiunga!Sijasema lolote zaidi ya kuuliza!Binafsi siwezi vaa vazi nikijua lina maandishi yanayopingana na imani yangu!Na hapo sijazungumzia vazi limetoka kwa nani,nazungumzia ujumbe!Kama kanye west ana brand nyingine naweza nikawa nimtumiaji ila lisiwe na maneno yenye kuleta ukakasi kwa imani yangu
We unafahamu malengo ya microsoft, toyota, nissan, cocacola, olyimpic, apple, intel, bendera ya israel, soka, mc donalds, pepsi, adidas, nike, mgunduzi wa umeme, mgunduzi wa simu, madhehebu ya dini? Ubaya wa kitu uja kwenye matumizi mf kisu kinaweza uwa na kinaweza kukatia kitunguu, nyuklia inaweza tengeneza nishati na inaweza tengeneza bomu. Ni haki yako kujua maarifa ya ulimwengu na kuyatumia katika namna nzuri.
 
Yeesuz pia ni nickname yake,huwa anajulikana kama "Ye" wengine huita yeezy na pia jesus ni jina huru kutumia coz watu wengi wanaitwa yesu tu koz ni jina ka majina mengine ila hawaitwi Yesu Christo. kama ilivyo jina la Muhammad.
Kanye west alishaweka hadharani nini maana ya "yeezus"!Kwahiyo wafuasi wake humuita hivyo na wanajua dini hiyo mpya masihi wao ni "yeezus"
 
Mimi kuna siku shemeji yangu alikuwa kavaa T-shirt iliyoandika "I'M PORNSTAR"
Aiseee nilijisikia aibu sana.
Halafu bonge la bishoo...dah!
Hahahaaaaaa,kuna haja ya kujua haya maandishi yana maana gani kabla hatujatupia viwalo vyetu!
 
Manchester united a.k.a mashetani wekundu.
Tena team imejiita kabisa shetani, je ina maana mashabiki wa MAN U ni wafuasi wa shetani?
 
We unafahamu malengo ya microsoft, toyota, nissan, cocacola, olyimpic, apple, intel, bendera ya israel, soka, mc donalds, pepsi, adidas, nike, mgunduzi wa umeme, mgunduzi wa simu, madhehebu ya dini? Ubaya wa kitu uja kwenye matumizi mf kisu kinaweza uwa na kinaweza kukatia kitunguu, nyuklia inaweza tengeneza nishati na inaweza tengeneza bomu. Ni haki yako kujua maarifa ya ulimwengu na kuyatumia katika namna nzuri.
Hujaelewa,kanisome tena!Kanye west aliweka hadharani kuwa yeye ni "yeezus" na kwamba ndio masihi wa wafuasi wake katika dini hiyo mpya!Unajua ukifanya jambo bila kujua si sawa na ukiwa unajua!Ndio maana nikasema,ni vema kuwa na uchaguzi sahihi wa mavazi tunayovaa!Swali kwangu kwa diamond ni Je anajua?Kama anajua,je ni swaga tu au kashajiunga!
 
Manchester united a.k.a mashetani wekundu.
Tena team imejiita kabisa shetani, je ina maana mashabiki wa MAN U ni wafuasi wa shetani?
Swali zuri,hata mimi logic ya uzi huu ni kumuuliza diamond!Coz yote yanawezekana,ndio maana nimeuliza je anajua alichovaa?Je,ni swaga tu au ameshajiunga na imani hiyo?Yote kati ya hayo matatu yanaweza kuwa jibu!
 
Hujaelewa,kanisome tena!Kanye west aliweka hadharani kuwa yeye ni "yeezus" na kwamba ndio masihi wa wafuasi wake katika dini hiyo mpya!Unajua ukifanya jambo bila kujua si sawa na ukiwa unajua!Ndio maana nikasema,ni vema kuwa na uchaguzi sahihi wa mavazi tunayovaa!Swali kwangu kwa diamond ni Je anajua?Kama anajua,je ni swaga tu au kashajiunga!
Kuna windows xp longhorn, unafahamu maan ya longhorn. Still watu wanaitumia.
Ceo wa apple aliweka hadharani kiwa yeye shoga. je ina maanisha ukitumia products za apple wewe shoga.
Manchester united wanajiita red devils. Je ina maana ukishabikia man u wewe mwabudu shetani?
Ila fashion nyingine tuziache zipite tu
 
Sasa hapa unamsemea diamond!Mi nimemuuliza kama ni swaga tu,au hajui au pengine kajiunga!
 
Hakuna kitu kama hicho ni Imani za kijinga tu.

Nikikuambia uthibitishe hayo utaweza?
Sawa.. Ila ndo mana inaitwa imani.. Kila mtu ana imani yake.. Mi imani yangu ndo hiyo.. So haina haja ya mimi kuandika maneno meeengi kuthibitisha
 
Watu wanavofuatilia mambo ya freemason, utakuta watu wanamajarida, pdf mavideo kutwa anaitizama. Sasa mwambie mara ya mwisho kusoma BIBLIA au MSAAFU lini au mara mwisho kwenda MSIKITINI au KANISANI hajui, sasa ww huoni kati yako ww na diamond nani yupo karibu kujiunga na freemason. Tukianza kuzizungumzia hizi nembo dah mi nishavaa nyingi hii Damon DADA, wu tang, rockwear zinamaana gani, Halafu hiyo ni logo tu ya yeezy na sometime wenzetu wanataka kucreate habari na attention kwenye media,kama kijana mwenzangu njia nzuri ya kubaki ktk njia za mungu ni kusoma vitabu vitavyokupa mwongozo wa kwenda peponi na si kusoma hiyo mijarida na kutazama video za illuminat kwani zinaweza kukuongoza njia mbaya, hasa siku ukiwa majaribuni.
 
Hujaelewa,kanisome tena!Kanye west aliweka hadharani kuwa yeye ni "yeezus" na kwamba ndio masihi wa wafuasi wake katika dini hiyo mpya!Unajua ukifanya jambo bila kujua si sawa na ukiwa unajua!Ndio maana nikasema,ni vema kuwa na uchaguzi sahihi wa mavazi tunayovaa!Swali kwangu kwa diamond ni Je anajua?Kama anajua,je ni swaga tu au kashajiunga!
Ni hivi wewe kutojua jambo halindoi ukweli kuhusu hilo jambo. Katafute ukweli kuhusu hayo baadhi niliyokutajia kwanza. Mana inaonekana kuwa una mengi zaidi ya kujifunza.
 
Back
Top Bottom