Diamond ni kutojua au umejiunga na dini hii mpya!?

We kwako dini ni uislam na ukristo tu. Jitaidi utoke kwenye kisanduku cha dini za kimapokeo.
 
Ni hivi wewe kutojua jambo halindoi ukweli kuhusu hilo jambo. Katafute ukweli kuhusu hayo baadhi niliyokutajia kwanza. Mana inaonekana kuwa una mengi zaidi ya kujifunza.
Nauliza tu,ni swaga,kutokujua au kajiunga?lazima hapo jibu ni moja kati ya hayo matatu
 
Lkn si kavaa 2 nguo. Kwan kuvaa ki2 ndo kumfatsha aliyezndua?? Mbna wa2 wanavaa nguo zna mafuvu. Au m2 anavaa nguo ina maneno ya ajabu. Sio kila ki2 ni kuchukulia negatively
Inawezekana ni kweli unayo yasema lakini fahamu nguo pia ni kitambulisho kikubwa ya jambo unaloliamini
 
Yeezus ni jina la album ya kanye sio dini ya kanye.
 
Kwa hiyo rangi ya mkono wake, anayo haki kabisa ya kujiunga na yeezus
 
Vp kuhusu ile pendant yake yenye Jesus face? Is he a Muslim, a christian or non of the above
 
Diamond sio mkristo.
Ni kupoteza muda kama kumuona jay z kavaa tishet imeandikwa jesus saves, ama kumuona wema ka act mlokole ama Idris elba ka- act mchungaji katika movie kisha useme ni wakristo.
That:s business.
 
Mimi kuna siku shemeji yangu alikuwa kavaa T-shirt iliyoandika "I'M PORNSTAR"
Aiseee nilijisikia aibu sana.
Halafu bonge la bishoo...dah!
Nilipishana na mtu tshirt imeandikwa grave digger na kuna mafuvu kibao.
 
Kwa hiyo wewe ukivaa kitu na jina la mtu au kampuni, mfano Oscar de la renta nawe utakuwa umejiunga nao au kuwa kama yeye?
 
Kwa hiyo wewe ukivaa kitu na jina la mtu au kampuni, mfano Oscar de la renta nawe utakuwa umejiunga nao au kuwa kama yeye?
Ndio maana nimeuliza,ni swaga,kutokujua au kajiunga na imani hiyo?Simple tu!
 
Diamond sio mkristo.
Ni kupoteza muda kama kumuona jay z kavaa tishet imeandikwa jesus saves, ama kumuona wema ka act mlokole ama Idris elba ka- act mchungaji katika movie kisha useme ni wakristo.
That:s business.
Nadhani hata wewe unabashiri tu,hujui his motive behind!
 
Nadhani hata wewe unabashiri tu,hujui his motive behind!
Yeah ila siko mbali na kweli cause

Simple fact ni kwamba ukiipenda dunia, huwezi mpendeza Mungu.

Hata ukisema una imani fulani. Your life tells the whole story
 
Ndio maana nimeuliza,ni swaga,kutokujua au kajiunga na imani hiyo?Simple tu!

Mmmmmmh

Namba zao zipo mtumie ujumbe akujibu.

Hata hizo namba ziliwekwa humu watu waliziuliziaga nyuma.
 
siunajua wbongo kwa kuiga?? pengine hajui kilichoandikwa ye mradi kaona kavaa kanye west. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…