Nikiri kuwa fan wa mziki wa diamond!Nimekuwa nikiingia mara moja moja kwenye page zake mbalimbali kupata updates!Siku za karibuni kutokana na kubanwa na majukumu sikuwa karibu na social media!
Leo nimeingia kwenye account yake ya Instagram,nikawa napitia taarifa nilizokosa kwa muda!Mojawapo ni ile aliyoenda kutoa msaada kwenye foundation ya GSM inayojishungulisha na kusaidia watoto wenye uvimbe kichwani,hongera kwa hilo!
Wakati nataka kuondoka kwenye hiyo page,niliona kitu kilichonishtua kidogo!Ulikuwa umepiga nguo kama sweta jepesi juu ikiwa imeandikwa kifuani "Yeezus"!Kwa wasiojua Yeezus ni jina alilojibatiza Kanye West alivyoestablish dini yake mpya na kwamba yeye ndio Yeezus(jesus) wa wafuasi wapya wa imani hiyo!Amejikusanyia wafuasi wengi mpaka sasa kwa mujibu wa chombo kimoja huko USA!
Swali langu kwa Diamond ni kuwa haelewi alichokivaa au kajiunga na imani hiyo mpya au swaga tu!
Je,suala hili sio ukakasi kwa watu wa imani yake?
Ni hilo tu wadau.
View attachment 382607