Yaani mororo!
Mf. Wewe mkuu unaweza kuvaa nguo imeandika gay, satan au lolote km hayo, atleast nikiambiwa alikuwa hajui hapo sawa, maana kwa uzur wa tishet hyo hata mimi ningevaa cz nilikuwa sijui maana ya hilo neno hapo kabla, ila sasa huniveshi..Lkn si kavaa 2 nguo. Kwan kuvaa ki2 ndo kumfatsha aliyezndua?? Mbna wa2 wanavaa nguo zna mafuvu. Au m2 anavaa nguo ina maneno ya ajabu. Sio kila ki2 ni kuchukulia negatively
Vaa wewe kama kuna mtu atakujadili!Ndio maana umeingia huku kwenye jukwaa la celebrities,yaani iko hivyo tu!Humu ni habari za maarufu tu!yeesus si lebel tu ya nguo na si diamond to kavaa watu kkibao wanavaa ttz watanzania tukikosa cha kujadili ndo tunaanza kuangalia sijui diamond kavaa nn thats nonsense
Yeye sio kinyume na imani yake so mpotezee mkuu, diamond ni mtu mzima ana uhuru wa kufanya anachopenda kiwe kinyume au kimbeleSawa,ila ndio hadi ujumbe waniwekee?mfano,simu zitoke zinaitwa Freemason,siwezi nunua!Ila kampuni hiyo hiyo iziite labda Gx5,nitanunua!Issue hapa ni kuwa siwezi kununua kitu nikijua kabisa motive behind the words written on it inashabikia ushetani au kinyume na imani yangu
Yes,tuko pamoja!Mf. Wewe mkuu unaweza kuvaa nguo imeandika gay, satan au lolote km hayo, atleast nikiambiwa alikuwa hajui hapo sawa, maana kwa uzur wa tishet hyo hata mimi ningevaa cz nilikuwa sijui maana ya hilo neno hapo kabla, ila sasa huniveshi..
Kuvaa ni kusapoti mkuu.. Ila kama hajui maana hana kosa
Kumbuka hiyo ni aka sio kwa kumaanisha tofauti na Kanye ambaye kaanzisha dini na yeye ndie kiongozi waoManchester united a.k.a mashetani wekundu.
Tena team imejiita kabisa shetani, je ina maana mashabiki wa MAN U ni wafuasi wa shetani?
Ni kama Yule boya wa Manzese anaesisitiza KUMTOA MTU kafara ilhali biashara anayofanya inajulikana!Diamond anatumia ujinga wa watanzania kujipatia umaarufu ilo shati kavaa makusudi ili kupata antetion za watu mumzungumzie na hizi kiki hufanywa na wasanii wengi tu sema ulaya ndio zinazidi mipaka kiki zao.
Katika hali ya kawaida we waweza jiita a.k.a ya jina la shetani? Kujilinganisha chochote nabshetani ni kumtukuza shetaniKumbuka hiyo ni aka sio kwa kumaanisha tofauti na Kanye ambaye kaanzisha dini na yeye ndie kiongozi wao
Ni jambo gani zuri linaweza kukuvutia kwa shetani mpaka ujiite jina lake.Kujiita a. k. a sio kwamba kile kitu unakitukuza, Kunakuwa na sababu mbalimbali, mfano kuna timu inajiita mbwamwitu huko ulaya, Ina maana wanatukuza mbwamwitu?
Huyoo amejiunga kwenye mambo ya kishetani siku nyingi sana. Ukimfwatilia vizuri utamwelewa diamond ni masonic. Usipo kubali leo kesho utakubali.
Kwani dope inamaana gan mkuu?Hajui maana yake ndo maana kavaa maana sometimes huwa anavaa kofia imeandikwa dope