Diamond ni kutojua au umejiunga na dini hii mpya!?

Diamond ni kutojua au umejiunga na dini hii mpya!?

Kijana anapita njia ambayo wanamuziki wakubwa na maarufu wanapita, je ateweza kuvumilia mpaka mwisho?
 
Lkn si kavaa 2 nguo. Kwan kuvaa ki2 ndo kumfatsha aliyezndua?? Mbna wa2 wanavaa nguo zna mafuvu. Au m2 anavaa nguo ina maneno ya ajabu. Sio kila ki2 ni kuchukulia negatively
Mf. Wewe mkuu unaweza kuvaa nguo imeandika gay, satan au lolote km hayo, atleast nikiambiwa alikuwa hajui hapo sawa, maana kwa uzur wa tishet hyo hata mimi ningevaa cz nilikuwa sijui maana ya hilo neno hapo kabla, ila sasa huniveshi..

Kuvaa ni kusapoti mkuu.. Ila kama hajui maana hana kosa
 
yeesus si lebel tu ya nguo na si diamond to kavaa watu kkibao wanavaa ttz watanzania tukikosa cha kujadili ndo tunaanza kuangalia sijui diamond kavaa nn thats nonsense
 
yeesus si lebel tu ya nguo na si diamond to kavaa watu kkibao wanavaa ttz watanzania tukikosa cha kujadili ndo tunaanza kuangalia sijui diamond kavaa nn thats nonsense
Vaa wewe kama kuna mtu atakujadili!Ndio maana umeingia huku kwenye jukwaa la celebrities,yaani iko hivyo tu!Humu ni habari za maarufu tu!
 
Sawa,ila ndio hadi ujumbe waniwekee?mfano,simu zitoke zinaitwa Freemason,siwezi nunua!Ila kampuni hiyo hiyo iziite labda Gx5,nitanunua!Issue hapa ni kuwa siwezi kununua kitu nikijua kabisa motive behind the words written on it inashabikia ushetani au kinyume na imani yangu
Yeye sio kinyume na imani yake so mpotezee mkuu, diamond ni mtu mzima ana uhuru wa kufanya anachopenda kiwe kinyume au kimbele
 
Mf. Wewe mkuu unaweza kuvaa nguo imeandika gay, satan au lolote km hayo, atleast nikiambiwa alikuwa hajui hapo sawa, maana kwa uzur wa tishet hyo hata mimi ningevaa cz nilikuwa sijui maana ya hilo neno hapo kabla, ila sasa huniveshi..

Kuvaa ni kusapoti mkuu.. Ila kama hajui maana hana kosa
Yes,tuko pamoja!
 
Manchester united a.k.a mashetani wekundu.
Tena team imejiita kabisa shetani, je ina maana mashabiki wa MAN U ni wafuasi wa shetani?
Kumbuka hiyo ni aka sio kwa kumaanisha tofauti na Kanye ambaye kaanzisha dini na yeye ndie kiongozi wao
 
Diamond anatumia ujinga wa watanzania kujipatia umaarufu ilo shati kavaa makusudi ili kupata antetion za watu mumzungumzie na hizi kiki hufanywa na wasanii wengi tu sema ulaya ndio zinazidi mipaka kiki zao.
Ni kama Yule boya wa Manzese anaesisitiza KUMTOA MTU kafara ilhali biashara anayofanya inajulikana!
 
Kumbuka hiyo ni aka sio kwa kumaanisha tofauti na Kanye ambaye kaanzisha dini na yeye ndie kiongozi wao
Katika hali ya kawaida we waweza jiita a.k.a ya jina la shetani? Kujilinganisha chochote nabshetani ni kumtukuza shetani
 
Kujiita a. k. a sio kwamba kile kitu unakitukuza, Kunakuwa na sababu mbalimbali, mfano kuna timu inajiita mbwamwitu huko ulaya, Ina maana wanatukuza mbwamwitu?
 
Kujiita a. k. a sio kwamba kile kitu unakitukuza, Kunakuwa na sababu mbalimbali, mfano kuna timu inajiita mbwamwitu huko ulaya, Ina maana wanatukuza mbwamwitu?
Ni jambo gani zuri linaweza kukuvutia kwa shetani mpaka ujiite jina lake.
Maana shetani ni adui mkubwa wa Muumba hatupashwi kujihusisha naye kwa chochote sasa unaanzaje jiita shetani.
ukijifananisha na mnyama afadhali maana kuna mazuri ya wanyama lakini shetani hana jema.
Ntajie jema moja la shetani.
 
Back
Top Bottom