Diamond ni kutojua au umejiunga na dini hii mpya!?

Diamond ni kutojua au umejiunga na dini hii mpya!?

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,179
Reaction score
26,188
Nikiri kuwa fan wa mziki wa diamond!Nimekuwa nikiingia mara moja moja kwenye page zake mbalimbali kupata updates!Siku za karibuni kutokana na kubanwa na majukumu sikuwa karibu na social media!

Leo nimeingia kwenye account yake ya Instagram,nikawa napitia taarifa nilizokosa kwa muda!Mojawapo ni ile aliyoenda kutoa msaada kwenye foundation ya GSM inayojishungulisha na kusaidia watoto wenye uvimbe kichwani,hongera kwa hilo!

Wakati nataka kuondoka kwenye hiyo page,niliona kitu kilichonishtua kidogo!Ulikuwa umepiga nguo kama sweta jepesi juu ikiwa imeandikwa kifuani "Yeezus"!Kwa wasiojua Yeezus ni jina alilojibatiza Kanye West alivyoestablish dini yake mpya na kwamba yeye ndio Yeezus(jesus) wa wafuasi wapya wa imani hiyo!Amejikusanyia wafuasi wengi mpaka sasa kwa mujibu wa chombo kimoja huko USA!

Swali langu kwa Diamond ni kuwa haelewi alichokivaa au kajiunga na imani hiyo mpya au swaga tu!

Je,suala hili sio ukakasi kwa watu wa imani yake?
Ni hilo tu wadau.

Screenshot_2016-08-16-13-42-13.png
 
Nikiri kuwa fan wa mziki wa diamond!Nimekuwa nikiingia mara moja moja kwenye page zake mbalimbali kupata updates!Siku za karibuni kutokana na kubanwa na majukumu sikuwa karibu na social media!
Leo nimeingia kwenye account yake ya Instagram,nikawa napitia taarifa nilizokosa kwa muda!Mojawapo ni ile aliyoenda kutoa msaada kwenye foundation ya GSM inayojishungulisha na kusaidia watoto wenye uvimbe kichwani,hongera kwa hilo!
Wakati nataka kuondoka kwenye hiyo page,niliona kitu kilichonishtua kidogo!Ulikuwa umepiga nguo kama sweta jepesi juu ikiwa imeandikwa kifuani "Yeezus"!Kwa wasiojua Yeezus ni jina alilojibatiza Kanye West alivyoestablish dini yake mpya na kwamba yeye ndio Yeezus(jesus) wa wafuasi wapya wa imani hiyo!Amejukusanyia wafuasi wengi mpaka sasa kwa mujibu wa chombo kimoja huko USA!
Swali langu kwa Diamond ni kuwa haelewi alichokivaa au kajiunga na imani hiyo mpya au swaga tu!
Je,suala hili sio ukakasi kwa watu wa imani yake?
Ni hilo tu wadauView attachment 382607
Hizo program za computeq unazotumia, simu, computer, magari, vinywaji ndege wagunduzi wake unajua wana abudu ktk dini gani? Kwa wewe kutumbia bidhaa na huduma zao unakuwa umejiunga nao? Usipoteze muda kwa mambo mepesi, tumia muda wako vizuri katika kujifunza. Wenzako wamejua siri za ulimwengu nawe ni haki yako kuzijua na kutumia katika namna nzuri.
 
Hiyo ni logo tu mkuu, ukizingatia imewekwa kwenye nguo kali na fashionable kiasi kwamba staa kuziacha yataka moyo.

Hata hivyo sio Mondi pekee.. Dully Sykes na wengine wengi wanavaa hapa bongo.. kuna wakati hata mimi navaa jezi ya Madrid lakini hata wachezaji 7 wa team hiyo siwajui. #ni mapenzi tu sio ufuasi.
 
Ndio maana nimeuliza,anafahamu malengo ya kusambazwa kwa hizo nguo au ni swaga au amejiunga!Sijasema lolote zaidi ya kuuliza!Binafsi siwezi vaa vazi nikijua lina maandishi yanayopingana na imani yangu!Na hapo sijazungumzia vazi limetoka kwa nani,nazungumzia ujumbe!Kama kanye west ana brand nyingine naweza nikawa nimtumiaji ila lisiwe na maneno yenye kuleta ukakasi kwa imani yangu
 
Hiyo ni logo tu mkuu, ukizingatia imewekwa kwenye nguo kali na fashionable kiasi kwamba staa kuziacha yataka moyo.

Hata hivyo sio Mondi pekee.. Dully Sykes na wengine wengi wanavaa hapa bongo.. kuna wakati hata mimi navaa jezi ya Madrid lakini hata wachezaji 7 wa team hiyo siwajui. #ni mapenzi tu sio ufuasi.
Ndio maana uzi wangu umekaa kiswali zaidi!Je,ni swaga au mfuasi?Yote yanawezekana
 
Diamond anatumia ujinga wa watanzania kujipatia umaarufu ilo shati kavaa makusudi ili kupata antetion za watu mumzungumzie na hizi kiki hufanywa na wasanii wengi tu sema ulaya ndio zinazidi mipaka kiki zao.
Sasa mbona unasema ujinga wa watanzania halafu mwishoni unasema ulaya ndio sana!Ukiwa star ndio ishakuwa hivyo,kila kitu lazima watu wahoji,iko hivyo!Vaa we kapuku kama utaulizwa
 
Ni mavazi tu mbona kuna vijana masela mtaani wanavaa ma T-shirt yameandikwa "https://jamii.app/JFUserGuide ME BOY" AM PREGNANT" na unakuta kalipendea maandishi yake au picha anadunda nalo sa sijui kama na maana ya hayo maneno kama wanaifahamu
 
Hiyo ni logo tu mkuu, ukizingatia imewekwa kwenye nguo kali na fashionable kiasi kwamba staa kuziacha yataka moyo.

Hata hivyo sio Mondi pekee.. Dully Sykes na wengine wengi wanavaa hapa bongo.. kuna wakati hata mimi navaa jezi ya Madrid lakini hata wachezaji 7 wa team hiyo siwajui. #ni mapenzi tu sio ufuasi.
Hata ukivaa logo inayosomeka "Mimi ni mfuasi wa shetani" poa tu
 
85%-90% ya mavitu tunayotumia himu duniani yanatoka kwa hao hao tunaowaita freemasons(devil worshipers),
Kiukwel hatuwezi kuwaepuka kabisaaaaaa....
Natoa mfano: niliskiao pia coca cola ni hao hao kina freemason, sasa je ni wangapi tunatumia coca cola, wapi nike, wapi adidas, wangapi tunashabikia hizi timu za mipira zinazohusishwa na mambo ya kishetani.
Hawa jamaa ni UN-KWEPEKABLE
 
Back
Top Bottom