Nimemuangalia mpuuzi huyo sio mnaija mbongo,
Afu tuzo mnazosema kapata davido, zote chibu kapata isipokuwa BET kama davido alivo hajawahi kupata MTVEMA
SAHIVI NI MINYOOSHO TU!!!
TUNAENDA KUSHINDA YA DUNIA NZIMA SAHVI
Aaah ugomvi kwani?
Yani mkuu hao ni mbulula wameenda kumtukana yule muhind wakatukana kwa davido et hamuwez daimond sasa na wao wapo wanajibu mapigoHahahahaaaaa jamaa inabidi aanze kushituka coz ashaanza kukera maraia na sofa zake izo za kiboya watu wana mitunzo tena ya Grammy lakini hawana ulimbukeni huo mm nauita kama ushamba tu sioni haja
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?
Angalia tu asije kukunyoosha na wewe huko nyuma kwako maana sio shobo hiz
Kiba alivyopanda daladala watu wengi walikuwa hawajui na wala haku post instagram na juzi alivyoenda jagwani hakusema kama atakuwepo na watu walikuwa wengi ila haja post instagram so show offs na misifa usimfananishe kiba na mond aisee juzi tu alienda kupiga show kimykimya ye anaangalia pesa sio watu ukimpa hela yake anayota kwenye sho hata watu watano anapiga hivyo yani
Yani mkuu hao ni mbulula wameenda kumtukana yule muhind wakatukana kwa davido et hamuwez daimond sasa na wao wapo wanajibu mapigo
Sasa si baada ya kufanya ndo wakaambiwa wakaenda ila hakupost hao xxl walisikia tu no show offs hapa mbona kwa kidoti kaenda kimya kimya sema jamaa wema kamuharibu sana ana mambo ya kikeAlitangaza saaana tu, tena clouds fm XXL na millard akawa anaenda nàe kuchukuwa video watu walikuwa wanampuuzia tu wanajuwa nibsaa mbovu tu kama sklepa nyinginezo
MAFURIKO OYEEEEEEEEEEEEEE
Hiyo ni kwenu haters, ni sindano tu kila kukicha hapana chezea mondi bin laden mtu mbaaaaaaya
Mtanyoooka
Sasa si baada ya kufanya ndo wakaambiwa wakaenda ila hakupost hao xxl walisikia tu no show offs hapa mbona kwa kidoti kaenda kimya kimya sema jamaa wema kamuharibu sana ana mambo ya kike
Kikomo cha domo ni king kiba tu yaan huwa ananywea kinoma mbele ya king na mademu zake anamgongea sasa ameanza na jokate baadae ya apo zari ajiandae kupakuliwa na king of bongo flava
India wapo kama 50billion Tanzania kama 50 million yani mkoa mmoja wa India wa kipiga kura ni sawa na Tanzania nzima mnajua kwamba hawezi mshinda ndo maana mmeenda kumtukana kule mi simpigii muhindi hiyo population yao inatosha kunipa raha mimiAcha kujibaraguza hapa, mi niliona kipage chake hicho aliandika sana tu unamdanganya nani???
Afu inatosha hapa tunamuongelea King of afropop sio sklepa sklepa nlitolea mfano tu sio uanze kumsogeza ili wadau wajuwe yupo kwenye ramani hahahahahahaha we mjanja sana
Kwanza umempigia kura muwakilishi wa Afrika kupambana huko Duniani?? mi ndio nimetoka kumwaga kura zangu kama mia tano hiviiii huku navuta kasi niende tena
Kikomo cha domo ni king kiba tu yaan huwa ananywea kinoma mbele ya king na mademu zake anamgongea sasa ameanza na jokate baadae ya apo zari ajiandae kupakuliwa na king of bongo flava
Hao si marafiki zake lazma wapongeze we umeona wanaojielewa wapo kimya tu
India wapo kama 50billion Tanzania kama 50 million yani mkoa mmoja wa India wa kipiga kura ni sawa na Tanzania nzima mnajua kwamba hawezi mshinda ndo maana mmeenda kumtukana kule mi simpigii muhindi hiyo population yao inatosha kunipa raha mimi
India wapo kama 50billion Tanzania kama 50 million yani mkoa mmoja wa India wa kipiga kura ni sawa na Tanzania nzima mnajua kwamba hawezi mshinda ndo maana mmeenda kumtukana kule mi simpigii muhindi hiyo population yao inatosha kunipa raha mimi