Diamond ni limbukeni wa mafanikio

Diamond ni limbukeni wa mafanikio

Nimemuangalia mpuuzi huyo sio mnaija mbongo,

Afu tuzo mnazosema kapata davido, zote chibu kapata isipokuwa BET kama davido alivo hajawahi kupata MTVEMA

SAHIVI NI MINYOOSHO TU!!!

TUNAENDA KUSHINDA YA DUNIA NZIMA SAHVI

Angalia tu asije kukunyoosha na wewe huko nyuma kwako maana sio shobo hiz
 
Aaah ugomvi kwani?

Naona inakuchoma kama umekalia chuma mkuu,

Uliza davido kama emewahi kushinda tuzo tatu Afrima usiku mmoja, ndio ujue kichefuchefu ulichonacho ni cha mimba ya chuki

MTANYOOKA TU!!!

TAR 25 Tunaenda kuchukuwa nyingine ITALIA Msafara utaanzia Dubai mpaka bongo
 
Hahahahaaaaa jamaa inabidi aanze kushituka coz ashaanza kukera maraia na sofa zake izo za kiboya watu wana mitunzo tena ya Grammy lakini hawana ulimbukeni huo mm nauita kama ushamba tu sioni haja
Yani mkuu hao ni mbulula wameenda kumtukana yule muhind wakatukana kwa davido et hamuwez daimond sasa na wao wapo wanajibu mapigo
 
Una umri gani wewe.? Maana wengine ma primary school leaver humu.
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?
 
Angalia tu asije kukunyoosha na wewe huko nyuma kwako maana sio shobo hiz

Hiyo ni kwenu haters, ni sindano tu kila kukicha hapana chezea mondi bin laden mtu mbaaaaaaya

Mtanyoooka
 
Kiba alivyopanda daladala watu wengi walikuwa hawajui na wala haku post instagram na juzi alivyoenda jagwani hakusema kama atakuwepo na watu walikuwa wengi ila haja post instagram so show offs na misifa usimfananishe kiba na mond aisee juzi tu alienda kupiga show kimykimya ye anaangalia pesa sio watu ukimpa hela yake anayota kwenye sho hata watu watano anapiga hivyo yani

Alitangaza saaana tu, tena clouds fm XXL na millard akawa anaenda nàe kuchukuwa video watu walikuwa wanampuuzia tu wanajuwa nibsaa mbovu tu kama sklepa nyinginezo

MAFURIKO OYEEEEEEEEEEEEEE
 
Yani mkuu hao ni mbulula wameenda kumtukana yule muhind wakatukana kwa davido et hamuwez daimond sasa na wao wapo wanajibu mapigo

Jeshi kubwaaaa, ni minyoosho tu..

Tukitoka hapo tunaingia marekani

TINGATINGA, KING OF AFROPOP diamond platnumz

Hiviii mliona wakina AKA, NA YEMI ALADE WANAVOWASIFU WABONGO KWA KUMPOKEA KISHUJAA STAA WAO PLATNUMZZZZ????
 
Last edited by a moderator:
Alitangaza saaana tu, tena clouds fm XXL na millard akawa anaenda nàe kuchukuwa video watu walikuwa wanampuuzia tu wanajuwa nibsaa mbovu tu kama sklepa nyinginezo

MAFURIKO OYEEEEEEEEEEEEEE
Sasa si baada ya kufanya ndo wakaambiwa wakaenda ila hakupost hao xxl walisikia tu no show offs hapa mbona kwa kidoti kaenda kimya kimya sema jamaa wema kamuharibu sana ana mambo ya kike
 
Jeshi kubwaaaa, ni minyoosho tu..

Tukitoka hapo tunaingia marekani

TINGATINGA, KING OF AFROPOP diamond platnumz

Hiviii mliona wakina AKA, NA YEMI ALADE WANAVOWASIFU WABONGO KWA KUMPOKEA KISHUJAA STAA WAO PLATNUMZZZZ????
Hao si marafiki zake lazma wapongeze we umeona wanaojielewa wapo kimya tu
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni kwenu haters, ni sindano tu kila kukicha hapana chezea mondi bin laden mtu mbaaaaaaya

Mtanyoooka

Kikomo cha domo ni king kiba tu yaan huwa ananywea kinoma mbele ya king na mademu zake anamgongea sasa ameanza na jokate baadae ya apo zari ajiandae kupakuliwa na king of bongo flava
 
Sasa si baada ya kufanya ndo wakaambiwa wakaenda ila hakupost hao xxl walisikia tu no show offs hapa mbona kwa kidoti kaenda kimya kimya sema jamaa wema kamuharibu sana ana mambo ya kike

Acha kujibaraguza hapa, mi niliona kipage chake hicho aliandika sana tu unamdanganya nani???

Afu inatosha hapa tunamuongelea King of afropop sio sklepa sklepa nlitolea mfano tu sio uanze kumsogeza ili wadau wajuwe yupo kwenye ramani hahahahahahaha we mjanja sana

Kwanza umempigia kura muwakilishi wa Afrika kupambana huko Duniani?? mi ndio nimetoka kumwaga kura zangu kama mia tano hiviiii huku navuta kasi niende tena
 
Kikomo cha domo ni king kiba tu yaan huwa ananywea kinoma mbele ya king na mademu zake anamgongea sasa ameanza na jokate baadae ya apo zari ajiandae kupakuliwa na king of bongo flava

Huyo sklepa si anajipigia makombo, yote hayo madimbwi aliyoacha diamond anapitia humo sijui ndio kaambiwa na mganga itamsaidia atoke ila bado tu anazidi kupotea si tunapata mituzo tu!!! Labda asubiri tena mwakani tuzo za pombe
 
Acha kujibaraguza hapa, mi niliona kipage chake hicho aliandika sana tu unamdanganya nani???

Afu inatosha hapa tunamuongelea King of afropop sio sklepa sklepa nlitolea mfano tu sio uanze kumsogeza ili wadau wajuwe yupo kwenye ramani hahahahahahaha we mjanja sana

Kwanza umempigia kura muwakilishi wa Afrika kupambana huko Duniani?? mi ndio nimetoka kumwaga kura zangu kama mia tano hiviiii huku navuta kasi niende tena
India wapo kama 50billion Tanzania kama 50 million yani mkoa mmoja wa India wa kipiga kura ni sawa na Tanzania nzima mnajua kwamba hawezi mshinda ndo maana mmeenda kumtukana kule mi simpigii muhindi hiyo population yao inatosha kunipa raha mimi
 
Muanze kulipia VAT jina Diamond. Maana linawaweka mjini.
Kikomo cha domo ni king kiba tu yaan huwa ananywea kinoma mbele ya king na mademu zake anamgongea sasa ameanza na jokate baadae ya apo zari ajiandae kupakuliwa na king of bongo flava
 
Hao si marafiki zake lazma wapongeze we umeona wanaojielewa wapo kimya tu

Exacltly, just like how you haters are doing, its obvious mtapinga, na ndio mnyooooosho ulivyo

MAFURIKO HOYEEEEEEEEEE

AFRIKA NZIMA SASAHIVI WANAONGELEA MAFURIKO YA CHIBU DANGOTE, THE ONE AND ONLY

TEAMDIAMOND 4EVAAAAAAAA
 
Kidingi unajua kiba anawanyima raha coz wizkid mwenyewe walimtoa mtvema sasa kiba kutokuwepo ndo nn et wizkid jeuri walitaka awashobokee dogo kawachomolea na afrimma wizkid aliwadanganya ataenda ku perform hajaenda bila sababu yule ndo wizkid mi ndo mfananisha na kingkiba kila kitu
 
Last edited by a moderator:
India wapo kama 50billion Tanzania kama 50 million yani mkoa mmoja wa India wa kipiga kura ni sawa na Tanzania nzima mnajua kwamba hawezi mshinda ndo maana mmeenda kumtukana kule mi simpigii muhindi hiyo population yao inatosha kunipa raha mimi

Yaan kwa mhindi wamenoa lazima domo akalishwe tena mapema sana
 
India wapo kama 50billion Tanzania kama 50 million yani mkoa mmoja wa India wa kipiga kura ni sawa na Tanzania nzima mnajua kwamba hawezi mshinda ndo maana mmeenda kumtukana kule mi simpigii muhindi hiyo population yao inatosha kunipa raha mimi

Ndio ujue kwamba tunatishaaa!!

Na idadi yao yote hiyoo, hawajawahi kushinda hii tuzo na kwa priya ni mara yake ya kwanza kushinda best Indian Act kama ilivyo kwa King of Afropop diamond platnumz ngoma droo

Tushaanza kumnyoosha priya kwenye social networks ni chibu chibu chibu

oyooooooooo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom