Diamond ni limbukeni wa mafanikio

Kumyoosha kwa matusi au?? Mnatukana nyie
 
Last edited by a moderator:

Sasa wizkid ndio uchafu gani????

Wapo wakina Beyonce, wakina Nick minaj, Justin bieber, Taylor swift na ndio wanaongoza kwa nominations unaongelea uchafu huo?????
 
Last edited by a moderator:
Sasa wizkid ndio uchafu gani????

Wapo wakina Beyonce, wakina Nick minaj, Justin bieber, Taylor swift na ndio wanaongoza kwa nominations unaongelea uchafu huo?????
Haha maneno ya uoga hayo
 
Hahaaaa wenye huzun wanaspread huzun kwa wenye furaha.
 
Hahaaaa wenye huzun wanaspread huzun kwa wenye furaha.

Nani kwenye huzuni mbona tuko happy tu na king wetu mzee wa masauti ata domo anaonaga wivu chezea sauti ya dhahabu ww
 
Kidingi na kedrick kidogo mnalingana idea ila hawa data na chige sikio la kufa hasa data anatukana huyo na comment s zake za mipasho mmoja essay msipanic bwana watani don't take it serious
 
Last edited by a moderator:
Hana tatizo,anajibrand na ndo anajithaminisha mimi sioni kama anakosea na bado mpaka mnyooke mwaka huuu go dangoteee...
 
Hivi ni kwa nini watu wanaibuka tu from a thin air na kuanza kumchukia huyu dogo!!!!!! Amewaudhi nini?
 
Tatizo ni ww unaehangaika Ku dis, yy ana maisha yake bt, mtu mwngine anajikuta anawashwa,...teh the ....
 

Sio tunzo ni Tuzo.
Ety = Eti.
Mitunzo = Tunzo

Kila mtu ana namna yake ya kufurahia ushindi.

Kama hupendi usiende kumpokea acha wanaopenda waende.

Tunaichukulia poa sana na nachukua nafasi hii kukushauri upunguze wivu na chuki zisizo na sababu mana hazitakusaidia lolote.
 

Angekuwa hataki show off hiyo clip ya kupanda daladala asingeweka YouTube.
Kiba huyo huyo ndo aliyewahi kulalamika kuwa vyombo vya habari havimpi sapoti na bla bla kibao angekuwa anajali hela tu angelalamika kweli?
Pia Kiba level yake sio ya Diamond, kifupi ni kwamba Kiba bado sanaaaaaaaa
 
Alitangaza saaana tu, tena clouds fm XXL na millard akawa anaenda nàe kuchukuwa video watu walikuwa wanampuuzia tu wanajuwa nibsaa mbovu tu kama sklepa nyinginezo

MAFURIKO OYEEEEEEEEEEEEEE

Umemaliza yote mkuu
 
Domo katika ushamba wake. What do you expect from uneducated shithead?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…