pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Kumyoosha kwa matusi au?? Mnatukana nyie
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumyoosha kwa matusi au?? Mnatukana nyie
Kidingi unajua kiba anawanyima raha coz wizkid mwenyewe walimtoa mtvema sasa kiba kutokuwepo ndo nn et wizkid jeuri walitaka awashobokee dogo kawachomolea na afrimma wizkid aliwadanganya ataenda ku perform hajaenda bila sababu yule ndo wizkid mi ndo mfananisha na kingkiba kila kitu
Haha maneno ya uoga hayoSasa wizkid ndio uchafu gani????
Wapo wakina Beyonce, wakina Nick minaj, Justin bieber, Taylor swift na ndio wanaongoza kwa nominations unaongelea uchafu huo?????
Upo likizo shule mnafungua lini??Hahaaaa wenye huzun wanaspread huzun kwa wenye furaha.
Hahaaaa wenye huzun wanaspread huzun kwa wenye furaha.
Hivi ni kwa nini watu wanaibuka tu from a thin air na kuanza kumchukia huyu dogo!!!!!! Amewaudhi nini?
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?
Hainiumizi but inanikera sana
Kiba alivyopanda daladala watu wengi walikuwa hawajui na wala haku post instagram na juzi alivyoenda jagwani hakusema kama atakuwepo na watu walikuwa wengi ila haja post instagram so show offs na misifa usimfananishe kiba na mond aisee juzi tu alienda kupiga show kimykimya ye anaangalia pesa sio watu ukimpa hela yake anayota kwenye sho hata watu watano anapiga hivyo yani
Alitangaza saaana tu, tena clouds fm XXL na millard akawa anaenda nàe kuchukuwa video watu walikuwa wanampuuzia tu wanajuwa nibsaa mbovu tu kama sklepa nyinginezo
MAFURIKO OYEEEEEEEEEEEEEE
halafu ww mtoa uzi ni mjinga? una wivu wa maendeleo