Nimejikuta nacheka peke yangu hadi watu wananishangaa.We jamaa vp? Wenyewe walioenda hawajalalamika unakuja kulalamika wewe!! Kama unadhani ukisema njoo mnipokee tu watu ndo watakuja kukupokea; jaribu wewe uwaambie angalau wa watu wa kijijini kwenu kwamba unaenda waje kukupkea kama hujakuta shangazi yako peke yake!
Unafaa kupuuzwa...Domond hana uwezo wa kutema demu labda king kiba coz alimtema adi lulu ambaye kila cku domo anamlilia chezea king kiba ww....
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?
Ni kweli kabisa mkuu huyu jamaa ni limbukeni ila ulimbukeni huo ndio unamfanya ajulikane dunia nzima na kuongeza idadi ya mashabiki , ukimbukeni wake unamuongezea tuzo na mkwanja , ulimbukeni wake ndio umemfanya aitangaze nchi kimataifa , namuomba mond asiache ulimbukeni wake kwani hata hapa Jf asingekua anapata thread nyingi zinazoandikwa na malimbukeni kama wewe
Huo ni ushamba mbona wengne kama akina davido wanachukuaga tunzo kimya kimya kwa hyo wenyew cyo maarufu.....naona akili yako imejaa matope pole sana
Haya endelea kumshauri kibakuli aendelee kujificha ndani kama utumbo uone kama atatusua , unafananisha na davido hujui davido kaanza kuimba tayari Nigeria inavuma kimuziki kimataifa , Mond yeye ndio kwanza anajaribu kuibeba nchi alafu masimbilisi kama ww unakuja kuharisha hapa
Hahahahaaaaa ila kweli ushamba mzigo sana.....sijui cku akipata za bet yaan tutakimbia mji kwa mashauzi.....mbona kina davido, eddy kenzo, wiz washachukuaga tunzo tena za heshima but hatujawai sikia ayo maandamano daah utandale bado upo kichwan
Cyo tunamchukia Bali nyodo zake zinakera sana
Na ushahidi ni huo hapo!!!
Nigerian comments on instagram
Angalia tu asije kukunyoosha na wewe huko nyuma kwako maana sio shobo hiz
Na wewe uache mambo ya kike kila siku kumlalamikia mwaname mwenzako wakati humfahamu na wala hakufahamu!!! Yaani mambo ya kufanya dada zenu mnafanya ninil aaaaargh! Angalia hata hapa jamvini wale dada zenu wa Team Kiba wamewakimbia mmebaki wanaume kufanya mambo ya kike!Hayo ni mambo ya kike na yalianzishwa na wema kipindi wapo pamoja sasa wameachana kaiga ndo maana wema alivyokosa ubunge si alifanya kama hivyo #mambo ya kike mnatetea upuuzi tu hapa
Kwani hiyo BET wanayochukua akina Davido ina ubora gani ukilinganisha na MTV? Wote hao wanachukua category ya Africa na mnyama kachukua MTV EMA African Category! Au kwa akili yako unadhani BET ipo juu ya MTV? Unashindwa hata kutumia akili kidogo kwamba wakati BET inakutanisha Blacks, MTV inakutanisha watu wa mataifa rangi zote duniani! Wakati BET ipo US peke yake, MTV ipo duniani kote! Wakati Tuzo za MTV EMA zimeanza 1994 zile za BET zimeanza 2001 halafu bado unatarajia BET itakuwa tuzo kubwa kuliko MTV?Hahahahaaaaa ila kweli ushamba mzigo sana.....sijui cku akipata za bet yaan tutakimbia mji kwa mashauzi.....mbona kina davido, eddy kenzo, wiz washachukuaga tunzo tena za heshima but hatujawai sikia ayo maandamano daah utandale bado upo kichwan
Linganisha hiyo namba ya viewers ya MTV EMA na hii ya BET:The biggest Viacom International Media Networks event of the year was held in Amsterdam, with Miley Cyrus, Eminem, Katy Perry and Robin Thicke among the performers.
LONDON Viacom's MTV confirmed Wednesday that this year's MTV Europe Music Awards set a ratings record for what is the biggest Viacom International Media Networks event of the year.
The 20th MTV EMAs, which aired from Amsterdam in early November, reached an estimated 11.5 million viewers in the U.S. and 43.5 million in international markets, according to a spokeswoman. The figures include the live or premiere broadcasts in various countries, as well as repeats.
PHOTOS: The 2013 MTV EMAs
Outside the U.S., viewership was up 5 percent over 2012, helping deliver the biggest -ever EMA audience. Adding the U.S. figures, the show reached 55 million viewers globally. Ongeza ufahamu hapa
Aidha, tuzo ambazo zinaongoza kuvutia audiences ni hizi hapa chini:BET Awards Ratings Rise to 7.9 Million Viewers With Host Chris Rock
The nearly four-hour show scored 7.9 million viewers last night, up from 2013s 7.8 million audience. That total is good enough to make last nights telecast cables most-watched awards show of the season. Ongeza maharifa zaidi hapa
Kwani hiyo BET wanayochukua akina Davido ina ubora gani ukilinganisha na MTV? Wote hao wanachukua category ya Africa na mnyama kachukua MTV EMA African Category! Au kwa akili yako unadhani BET ipo juu ya MTV? Unashindwa hata kutumia akili kidogo kwamba wakati BET inakutanisha Blacks, MTV inakutanisha watu wa mataifa rangi zote duniani! Wakati BET ipo US peke yake, MTV ipo duniani kote! Wakati Tuzo za MTV EMA zimeanza 1994 zile za BET zimeanza 2001 halafu bado unatarajia BET itakuwa tuzo kubwa kuliko MTV?
Hebu wasome The Hollywood Reporter ili uondoe matongotongo!
Linganisha hiyo namba ya viewers ya MTV EMA na hii ya BET:Aidha, tuzo ambazo zinaongoza kuvutia audiences ni hizi hapa chini:
10 Most-Watched Awards Shows
- The Academy Awards (ABC)
- Grammy Awards (CBS)
- Golden Globe Awards (NBC)
- Emmy Awards (CBS)
- Country Music Association Awards (ABC)
- Academy if Country Music Awards (CBS)
- American Music Awards (ABC)
- Video Music Awards (MTV)
- People's Choice Awards (CBS)
- Billboard Music Awards(ABC)
From The Hollywood Reporter
Muwe mna-subscribe media za mbele za masuala ya burudani ili mpate ufahamu na kuongea vitu mnavyovijua; na hata kama ni kulipia, lipieni... au lugha tatizo?!