Diamond ni limbukeni wa mafanikio

Duuh kama unalipwa mwanangu....ila aache sasa mashauzi take ndo maana ata davido kampotezea coz anamuona dogo ni ulimbukeni wa mafanikio
Kampotezea vipi? Au na wewe unalipwa na dada zako kufanya kazi ambazo kwa asili ni za kike?! Mtoto wa kiume kila wakati kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzako; how do you feel?!
 
Taifa stars ikishinda huwa haipokelewi
Kwa kuwa ni # DIOMOND

WIVU mbaya sana
 

Mkuu unanipa sababu ya kuingia humundani kila siku


Hahahahaha umetisha sana!!!!!!
 
Yaani chige kwa data tu hunaga mpinzani, mtu akibisha anakuwa ameamua tu ila ukweli anabaki nao moyoni
 
Last edited by a moderator:
Yaani haters wanaifanya BET ionekane tuzo kubwa kwavile ambaye hawampendi hajawahi kuipata, wanasahau kwamba MTV ni tuzo za watu wote (weusi na weupe), wakati BET ni ya mablack tupu.Inaonekana hata tuzo huwa hamuangaliagi, kama ni mfatiliaji BET utawaona wasanii kama Lil Wayne, Kanye,Jigga,Nicki Minaj (mablack tupu) wakati MTV unakutana na wasanii wa aina tofauti eg. Katty Perry, Justin Bebier, Eminem, Kanye West, Beyonce, Rihanna,Jayz,Taylor Swift,Nicki Minaj,Drake, etc

Watu kama wakina Kanye West,Lil Wayne, Nicki Minaj kuchukua tuzo BET kwao ni kawaida, ila kuchukua MTV ni ishu, unaweza kuta wanatuzo zisizozidi nne kila mmoja, wakati BET wanafikisha Hata 20. Huko wanaotamba ni kina Taylor Swift, Katty Perry, Justin Bebier, etc. Kuna mwaka Kanye West alimfanyia kituko jukwaani Taylor Swift Kwa kupewa tuzo instead of Beyonce, alizan kule kama BET kwamba kila tuzo ya Beyonce
 
tuache unafiki jamani kazi anayoifanya Diamond si ya kitoto. tokea tupate uhuru ndo kwanza tunampata Mtanzania anayetambulika kwenye tuzo za kimataifa za muziki. sio jambo dogo hili ukizingatia alipoanzia maisha yake kwenye umasikini mkubwa acheni tu "alimbuke". hata ingekuwa mimi nadhani ningemzidi kwa "kulimbuka"
 

Kumbe BET ni tunzo ya kitoto cyo
 
Hahahahaaaaa jamaa inabidi aanze kushituka coz ashaanza kukera maraia na sofa zake izo za kiboya watu wana mitunzo tena ya Grammy lakini hawana ulimbukeni huo mm nauita kama ushamba tu sioni haja

You can take a man out of Tandale/ Mbagala but you can never take Tandale/ Mbagala out of him.

Ni vyema kuelewa mtu anapotoka shamba mjini, anapaswa ayaache mashamba pamoja na ushamba ila kwa wengine huenda ni tofauti...wanapokuja mjini, wanayaacha mashamba bali wanakuja na ushamba (Just thinking aloud!)
 
Umemaliza kila kitu kaka
 

Ndo umeandika nini apa mkuu?
 

Waaambie hao..eti jide kapewa mituzo kibao..mituzo gn....diamond is diamoond kaitangaza tz
 
Good for you mtoto wa kishua, mwenye maisha ya kinyamwezi!! Uwe unaishi Masaki, Oyster bay, Mbezi Beach or wherever, it's none of our business tuache watoto wa uswahilini tuendeleze uswazi wetu... nyie watu vp??!! Hapa tukibeba tuzo, tunautangazia ulimwengu na mwisho wa siku tunakutana airport! Una lingine mtoto wa kishua?
 
Waaambie hao..eti jide kapewa mituzo kibao..mituzo gn....diamond is diamoond kaitangaza tz
Tena kwa heshima ya Jide, watu tunaacha kuzichambua tuzo za nje alizopata vinginevyo wangegundua karibu zote zina hadhi ya KTMA!
 

Vipi kuhusu ile ya kupokelewa baada ya kukatwa Ubunge kwa yule x wake? Mi nadhani ile inakera Zaidi....
 

Wivu wa kike unakusumbua...tulia ikuingie...mtanyooka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…