Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampotezea vipi? Au na wewe unalipwa na dada zako kufanya kazi ambazo kwa asili ni za kike?! Mtoto wa kiume kila wakati kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzako; how do you feel?!Duuh kama unalipwa mwanangu....ila aache sasa mashauzi take ndo maana ata davido kampotezea coz anamuona dogo ni ulimbukeni wa mafanikio
Taifa stars ikishinda huwa haipokelewi
Kwa kuwa ni # DIOMOND
WIVU mbaya sana
Kwani hiyo BET wanayochukua akina Davido ina ubora gani ukilinganisha na MTV? Wote hao wanachukua category ya Africa na mnyama kachukua MTV EMA African Category! Au kwa akili yako unadhani BET ipo juu ya MTV? Unashindwa hata kutumia akili kidogo kwamba wakati BET inakutanisha Blacks, MTV inakutanisha watu wa mataifa rangi zote duniani! Wakati BET ipo US peke yake, MTV ipo duniani kote! Wakati Tuzo za MTV EMA zimeanza 1994 zile za BET zimeanza 2001 halafu bado unatarajia BET itakuwa tuzo kubwa kuliko MTV?
Hebu wasome The Hollywood Reporter ili uondoe matongotongo!
Linganisha hiyo namba ya viewers ya MTV EMA na hii ya BET:Aidha, tuzo ambazo zinaongoza kuvutia audiences ni hizi hapa chini:
10 Most-Watched Awards Shows
- The Academy Awards (ABC)
- Grammy Awards (CBS)
- Golden Globe Awards (NBC)
- Emmy Awards (CBS)
- Country Music Association Awards (ABC)
- Academy if Country Music Awards (CBS)
- American Music Awards (ABC)
- Video Music Awards (MTV)
- People's Choice Awards (CBS)
- Billboard Music Awards(ABC)
From The Hollywood Reporter
Muwe mna-subscribe media za mbele za masuala ya burudani ili mpate ufahamu na kuongea vitu mnavyovijua; na hata kama ni kulipia, lipieni... au lugha tatizo?!
Yaani haters wanaifanya BET ionekane tuzo kubwa kwavile ambaye hawampendi hajawahi kuipata, wanasahau kwamba MTV ni tuzo za watu wote (weusi na weupe), wakati BET ni ya mablack tupu.Inaonekana hata tuzo huwa hamuangaliagi, kama ni mfatiliaji BET utawaona wasanii kama Lil Wayne, Kanye,Jigga,Nicki Minaj (mablack tupu) wakati MTV unakutana na wasanii wa aina tofauti eg. Katty Perry, Justin Bebier, Eminem, Kanye West, Beyonce, Rihanna,Jayz,Taylor Swift,Nicki Minaj,Drake, etc
Watu kama wakina Kanye West,Lil Wayne, Nicki Minaj kuchukua tuzo BET kwao ni kawaida, ila kuchukua MTV ni ishu, unaweza kuta wanatuzo zisizozidi nne kila mmoja, wakati BET wanafikisha Hata 20. Huko wanaotamba ni kina Taylor Swift, Katty Perry, Justin Bebier, etc. Kuna mwaka Kanye West alimfanyia kituko jukwaani Taylor Swift Kwa kupewa tuzo instead of Beyonce, alizan kule kama BET kwamba kila tuzo ya Beyonce
Kumbe BET ni tunzo ya kitoto cyo
Hahahahaaaaa jamaa inabidi aanze kushituka coz ashaanza kukera maraia na sofa zake izo za kiboya watu wana mitunzo tena ya Grammy lakini hawana ulimbukeni huo mm nauita kama ushamba tu sioni haja
Umemaliza kila kitu kakaYou can take a man out of Tandale/ Mbagala but you can never take Tandale/ Mbagala out of him.
Ni vyema kuelewa mtu anapotoka shamba mjini, anapaswa ayaache mashamba pamoja na ushamba ila kwa wengine huenda ni tofauti...wanapokuja mjini, wanayaacha mashamba bali wanakuja na ushamba (Just thinking aloud!)
You can take a man out of Tandale/ Mbagala but you can never take Tandale/ Mbagala out of him.
Ni vyema kuelewa mtu anapotoka shamba mjini, anapaswa ayaache mashamba pamoja na ushamba ila kwa wengine huenda ni tofauti...wanapokuja mjini, wanayaacha mashamba bali wanakuja na ushamba (Just thinking aloud!)
Hahahaha nadhani huduma ya kwanza, jipige kidole afu uza kimeo unachomiliki, nunua nokia tochi usiwe unaona mafuriko maana utaweuka
***** wakiweka misafara magufuri na lowassa mnaona sawa?
Afu kukurekebisha tu, hakuna msanii aliyewahi kushinda tuzo kubwa za heshima kama Diamond, kibakuli alivoenda kupanda daladala watu hawakumshobokea ingekuwa mondi lazima polisi wangemwagika
Good for you mtoto wa kishua, mwenye maisha ya kinyamwezi!! Uwe unaishi Masaki, Oyster bay, Mbezi Beach or wherever, it's none of our business tuache watoto wa uswahilini tuendeleze uswazi wetu... nyie watu vp??!! Hapa tukibeba tuzo, tunautangazia ulimwengu na mwisho wa siku tunakutana airport! Una lingine mtoto wa kishua?You can take a man out of Tandale/ Mbagala but you can never take Tandale/ Mbagala out of him.
Ni vyema kuelewa mtu anapotoka shamba mjini, anapaswa ayaache mashamba pamoja na ushamba ila kwa wengine huenda ni tofauti...wanapokuja mjini, wanayaacha mashamba bali wanakuja na ushamba (Just thinking aloud!)
Tena kwa heshima ya Jide, watu tunaacha kuzichambua tuzo za nje alizopata vinginevyo wangegundua karibu zote zina hadhi ya KTMA!Waaambie hao..eti jide kapewa mituzo kibao..mituzo gn....diamond is diamoond kaitangaza tz
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?