Diamond ni mchawi, achaneni naye!

Kwa wenye sikio la mziki tu watakuelewa ila wasio kuna na aina hiyo ya sikio wata kuita team kiba na majina mengine ya ajabu na matusi juu
 
Tatzo la wenye tress za maisha ndio ilo watu tunafulai tu ije rock ije singeli ije dance siye sawa tu [emoji23][emoji23]
Saikolojia imasema anayefurahia kila jambo anaandamwa na upweke.

fanya fanya upate mume bana.
 
Ali kiba angekuwa mbali sana ila madharau kibao si kwa mashabiki hadi wanaompromote DOGO ANA DHARAU NA KUJIONA.
 
Kwa wenye sikio la mziki tu watakuelewa ila wasio kuna na aina hiyo ya sikio wata kuita team kiba na majina mengine ya ajabu na matusi juu
Huenda hujasoma yote au hujaelewa alichomaanisha.

Huyo mtoa Mada ndio kakejeli kuhusu kiba zaidi hao wachangiaji.
 
Nyimbo za Ali Kiba unaweza kuzikiliza ukiwa umekaa na wakwe zako. Hazina matusi anatumia lugha za staha.

Kwasauti Kiba ni Mfalme wa muziki Tanzania.
Endelezea kusikiliza nyimbo kwa manufaa ya wakwe zako
 
Nani kakuambia Diamond sio muandishi mzuri wa nyimbo? Refer these songs
1. Ukimwona
2. Moyo wangu
3. Utanipenda
4. Lala salama
5. Number one
6. Kamwambie
7.Mbagala
8. Nataka kulewa
9. Nitampata wapi
10. Marry you
11. Mdogo mdogo, na nyingine kibao tu.

Uandishi umetulia kabisa. Na alianza kumfunika Kiba tangu kipindi hicho anaandika ngoma zenye ujumbe, sasa hivi Diamond kubadilika na kuandika hizi ngoma za kuchezeka kama Baba lao haimaanishi kuwa hajui kuandika. Dogo ni mjanja sana, anajua kucheza na soko la muziki wa bongo na ndo maana anafanikiwa.
 
Li wimbo la baba yao ni bayaaaaa ni bayaàaaa liwe na views au lisiwe nayo. Ukweli lazima usemwe
 
Sumbi Sanchez,

Diamond kama unavyosema ana mass kubwa ya washabiki East Africa, ila Ali kiba ana mashabiki royal na wanaishi na kukua na kuzeeka nae, na miziki yake Diamond akifa leo anasahaulika mazima, ila sio Kiba.

Ukitaka kuona yeye Diamond hajiamini, wewe mshabiki wake haujiamini ni pale katika kila jambo lenu lazima umtaje Kiba!!!..ilitosha kukaa kimya kabisa na bado mkasonga mbele.
 

1
9
10

Best written songs ever
 
Uko sahihi. Hongera kwa kuwa mtabiri mzuri. Naungana na wewe. Diamond asiyejiamini akifa atasahaulika ndani ya sekunde 14. Ali Kiba naona angalau atafikia nusu ya mafanikio ya Diamond then.
 
Reactions: Qwy
Nyimbo za Ali Kiba unaweza kuzikiliza ukiwa umekaa na wakwe zako. Hazina matusi anatumia lugha za staha.

Kwasauti Kiba ni Mfalme wa muziki Tanzania.

Wewe hayo ndo mawazo yako unawaza kukaa kwa wakwe wakati wenzio wanawaza hela,kitu husichokpenda ndo kina values kubwa kwenye ulimwengu wa leo...Angalia ata maandiko matakatifu yote yanakataza vitu vinavyopendwa na Wanadamu...ila yanajikuta haya jinsi wanadamu wanayapenda na wanayafanya tu.
 
Uliwai kuwauwa mkuu?
 
kujenga nyumba nzuri ambayo sio #imar
Huenda hujasoma yote au hujaelewa alichomaanisha

Huyo mtoa Mada ndio kakejeli kuhusu kiba zaidi hao wachangiaji.
Nilisoma zangu mistari kazaa na kuacha comment hayo magazet sie wengne wavivu bhana.
 
Kwani ukitaka kumuongela diamond lazima umuongee alikiba?
 
Mashabiki wa Kiba ni haters wa Diamond kwa asilimia kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…