upcoming tycoon
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 353
- 471
Kama umekubali ni ubunifu basi hilo neno lako la uchawi li-edit.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
then what?Nyimbo za Ali Kiba unaweza kuzikiliza ukiwa umekaa na wakwe zako. Hazina matusi anatumia lugha za staha.
Kwasauti Kiba ni Mfalme wa muziki Tanzania.
Saikolojia imasema anayefurahia kila jambo anaandamwa na upweke.Tatzo la wenye tress za maisha ndio ilo watu tunafulai tu ije rock ije singeli ije dance siye sawa tu [emoji23][emoji23]
Lakini Diamond ndo anapendwa, pabaya hapo.Nyimbo za Ali Kiba unaweza kuzikiliza ukiwa umekaa na wakwe zako. Hazina matusi anatumia lugha za staha.
Kwasauti Kiba ni Mfalme wa muziki Tanzania.
Huenda hujasoma yote au hujaelewa alichomaanisha.Kwa wenye sikio la mziki tu watakuelewa ila wasio kuna na aina hiyo ya sikio wata kuita team kiba na majina mengine ya ajabu na matusi juu
Endelezea kusikiliza nyimbo kwa manufaa ya wakwe zakoNyimbo za Ali Kiba unaweza kuzikiliza ukiwa umekaa na wakwe zako. Hazina matusi anatumia lugha za staha.
Kwasauti Kiba ni Mfalme wa muziki Tanzania.
Ukitaka kumsaidia mtu afanikiwe mpe mfano wa Alikiba na Diamond.
Alikiba ana sauti nzuri anatunga vizuri ila tatizo lake kubwa na linalofanya asifike alipo Diamond ni tabia ya kujiona mfalme, kujiona yeye anapaswa kukimbiliwa,kujiskia na kuvimba.
Diamond sio muandishi mzuri ila anajua kucheza na akili za watu,anaheshimu mashabiki wake,anawalilia na kuwafanya wajione wanamsaidia,ni mnyenyekevu na anatangaza kazi zake kama vile ni msanii chipukizi. Diamond hana kiburi.
Watanzania wengi wanapenda kunyenyekewa na ukilijua hilo utawapata sana.
Nani kakuambia Diamond sio muandishi mzuri wa nyimbo? Refer these songs
1. Ukimwona
2. Moyo wangu
3. Utanipenda
4. Lala salama
5. Number one
6. Kamwambie
7.Mbagala
8. Nataka kulewa
9. Nitampata wapi
10. Marry you
11. Mdogo mdogo
Na nyingine kibao tu, uandishi umetulia kabisa. Na alianza kumfunika Kiba tangu kipindi hicho anaandika ngoma zenye ujumbe, sasa hivi Diamond kubadilika na kuandika hizi ngoma za kuchezeka kama Baba lao haimaanishi kuwa hajui kuandika. Dogo ni mjanja sana, anajua kucheza na soko la muziki wa bongo na ndo maana anafanikiwa.
Uko sahihi. Hongera kwa kuwa mtabiri mzuri. Naungana na wewe. Diamond asiyejiamini akifa atasahaulika ndani ya sekunde 14. Ali Kiba naona angalau atafikia nusu ya mafanikio ya Diamond then.Diamond kama unavyosema ana mass kubwa ya washabiki East Africa
Ila Ali kiba ana mashabiki royal na wanaishi na kukua na kuzeeka nae, na miziki yake
Diamond akifa leo anasahaulika mazima, ila sio Kiba
Ukitaka kuona yeye diamond hajiamini, wewe mshabiki wake haujiamini ni pale katika kila jambo lenu lazima umtaje Kiba!!!..ilitosha kukaa kimya kabisa na bado mkasonga mbele
Nyimbo za Ali Kiba unaweza kuzikiliza ukiwa umekaa na wakwe zako. Hazina matusi anatumia lugha za staha.
Kwasauti Kiba ni Mfalme wa muziki Tanzania.
Uliwai kuwauwa mkuu?Diamond kama unavyosema ana mass kubwa ya washabiki East Africa
Ila Ali kiba ana mashabiki royal na wanaishi na kukua na kuzeeka nae, na miziki yake
Diamond akifa leo anasahaulika mazima, ila sio Kiba
Ukitaka kuona yeye diamond hajiamini, wewe mshabiki wake haujiamini ni pale katika kila jambo lenu lazima umtaje Kiba!!!..ilitosha kukaa kimya kabisa na bado mkasonga mbele
kujenga nyumba nzuri ambayo sio #imarMziki ni zaidi ya kuwa na sauti nzuri, trend ya mziki wa sasa ni kudance ndiyo maana utasikia nyimbo za kinaija zinapendwa wakati hakuna chochote walichoimba.
Diamond analijua hilo yuko katika kutengeneza pesa siyo kutafuta sifa naye anakubari kuwa anafanya mziki wa ujanja ujanja.
Utaskia watu wanamlaumu oh kalipia instagram adverts waupromote upate viewers wengi.
Uwa nashangaaa kwani tatizo ni nini? Anafanya biashara na biashara matangazo
Nilisoma zangu mistari kazaa na kuacha comment hayo magazet sie wengne wavivu bhana.Huenda hujasoma yote au hujaelewa alichomaanisha
Huyo mtoa Mada ndio kakejeli kuhusu kiba zaidi hao wachangiaji.
Mashabiki wa Kiba ni haters wa Diamond kwa asilimia kubwa.Diamond kama unavyosema ana mass kubwa ya washabiki East Africa