Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
kuna watu wanajiita Team kiba huwa wanabisha tu
wana stress wee waache, mimi ninawaelewa,
Inauma sana wewe hujui tuu,
kujitoa ufahamu, nguvu na muda wako wote wampromote mtu alafu bado inabuma, hata ingekuwa wewe inaumaaaaaa,
kiba whyyyyyyyyyyy??? kila ngoma ukitoa inabuma kwaniniiiiiiiii??????
sijakaataa halafu futa hilo neno dogo, nimeanza mimi kusema diamond we ungewataja hao wengine au sio
Nahs ulipokuwa unaandka huu ----- ulikuwa ndan ya daladala za kwenda mbagala ww,,,,cio bure ww dogo;-)
kwani mbagala wanaishi nguruwe?? mbona unadharau sana wewe???..na pia umekosa hata akili ya kufikiri kiasi kwamba unadharau makazi ya watu..japokuwa siiishi dar nakushangaa sana kwa akili yako fupi:wacko:
Ha ha we ndo unavo fikiri eeh acha kujizalilisha kwani hala ni mashindano ya marathoni useme nakimbia we niaje kajipange vzuri na comment yako ndo nikusome
bwahahahahahahahahahahaaaaaaa ona sasa povu linavyokutoka ninajua mnaumwa na dawa hakuna sasa, lazima mufe mwaka huu, umepanic brazaaa hahahahaaa hapa ndio jf bwaaaa!!! usipojipanga unapangwa
asee inauma sana kummbeba asiyebebeka haha
bwahahahahahahahahahahaaaaaaa ona sasa povu linavyokutoka ninajua mnaumwa na dawa hakuna sasa, lazima mufe mwaka huu, umepanic brazaaa hahahahaaa hapa ndio jf bwaaaa!!! usipojipanga unapangwa
Ni jinsi gani unaonyesha umezoea maneno ya kiswazi bi shosti this ij jf we dare to talk openly ndo mana nimekwambia mahaba nipofushe niwe mbulula nifikiri kwa kutumia makanyagio think big u will understand my point clearly bila kurumia akili kubwa sana ya mtoto wa nursery tuu inatosha
nimeamini JF kuna watu wenye matatizo ya akili ...hivi mnaozitaja dhambi za diamondinamaana nyie hamna dhambi, hata Mungu alikuja kwaajili ya wenye dhambi hivi nyie mnausafi gani mioyoni mwenu wa kukataa diamond si zawadi ya Mungu..ina maana shetani ndo amempa kipaji cha kuimba na pumzi ya bure..wajinga sana tena
Eeeeeee yaan acha ligi my princess hhhhhaaaa
Isije ikawa watu wanabishana na Kidoti hapa!
Kwa heshima na taadhima best naacha sasa hivi